Recent content by magesa77

  1. M

    JamiiForums Tanzania Subaru outback

    Subaru Outback, 2006 model, Auto - manual , Sports & Sports Sharp options, full AC, full vibali, mziki mkali ,Mileage kidogo, Tairi mpya, Sports Rim "17, Engine CC 2990, gari nzuri sana kwa masafa marefu, imetulia na kubwa kwa maana ya space. No D. Inapatikana Bunju B, bei 13M, maongezi kdg...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Subaru Outback inauzwa

    Gari Subaru Outback 2006 Model, CC 2990, Auto - manual, Sports & Sharp Sport options, full AC, Sports Rim "17, full vikali, no. D, mziki wa nguvu, iko sokoni. Mileage kdg, nzuri sana kwa long safari. Ya kuchukua na kwenda popote utakapo. Gari inapatikana Bunju B - Dar. Bei 13M. Kwa mawasiliano...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotumia TALA

    Jamaa wazuri sana, mi tayari nimefikia 300,000/=
  4. M

    JamiiForums Tanzania Xtrail for Sale Tshs 9,000,000/=

    Make:.................................................. Nissan Model:.................................................. X-Trail Car type:.............................................. Station Wagon Year: ...................................................2002 Doors...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nissan Xtrail inauzwa Millioni 9 tu

    Hapana ni picha za kawaida
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nissan Xtrail inauzwa Millioni 9 tu

    Ukihitaji picha Whatsaap nakutumia pia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nissan Xtrail inauzwa Millioni 9 tu

    Make:..................... Nissan Model: .............. X-Trail Car type: ............. Station Wagon Year: ............. 2002 Doors: ........... 5 Seats: ............ 5 Mileage: ......... 96 ,400 Engine size (cc): .......1990 Num...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Phantom Six Plus kwa 500,000/=

    Nenda tu dukani, nafikiri hujui bei yake ndo maana unasema!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Phantom Six Plus kwa 500,000/=

    Simu aina ya Phantom Six Plus inauzwa shs 500,000/= tu, mjini Moshi. Simu imetumika kwa miezi 2, almost new, iko na kila kitu chake. Inakaa na charge siku nzima pasipo kuzima data. Ni simu yenye uwezo mkubwa sana. Wasiliana nami kwa namba 0689 101177. Specification: Display: 6.0" FHD LTPS...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Techno C 9 inauzwa

    200 kamilli hapana ndugu, nashukuru!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Techno C 9 inauzwa

    Picha hizo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Techno C 9 inauzwa

    Nicheki kwa tigo no. 0717 441184, napatikana Tegeta - Dar es Salaam.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Techno C 9 inauzwa

    Simu imeongezewa ubora kwa kuwekewa grass screen protector pamoja na back cover kali sana . Hiyo bei iko chini. Kuhusu picha nitaweka maana ndo naitumia sasa hivi, nitaipiga baadaye nitawawekea hapa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Techno C 9 inauzwa

    Mwanangu kwa hela hiyo hapana. Simu ni kama mpya kabisa, used for 03 weeks. Jiongeze kdg upate kitu bora kabisa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Techno C 9 inauzwa

    Nauza simu Techno C 9 , almost mpya. Ina screen protector ya kioo, back cover nzuri sana na ya kisasa, iko pamoja na kila kitu chake kwa maana ya charger, headphones, kitabu chake pamoja na box lake. Napatikana Dar es salaam, simu no. 0757 393623 au 0778 101177. Bei shs 250,000/= ( Laki mbili...
Back
Top Bottom