Hizi ni ahadi za kipuuzi sana, je hao walimu amewajengea nyumba za kutunzia laptop, na je anauhakika na umeme wa uwasha hizo laptops? Kama wameshindwa kununua madawati na kulipa mishara wataweza laptops au ndo nafasi ya rushwa anajaribu kujitengenezea? Mi na mke wangu ni walimu lakini hatuna...
Siamini kama ni kweli, siamini uliyeweka cv hii kama hujatenda dhambi ya uchakachuaji, ila ukisikiliza kauli zake wanaendana. Mpaka unatoka duniani hutasaidia nchi hii isipokuwa matusi ambayo ni kinyume na matakwa ya Mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.