Hanajipya mwizi huyo pesa yote asilimia 75ya biashara zote tanesco ni zake amelifirisi shirika. Mzee pombe uko sahihi kabisa jamaa ni mwizi alimuweka kiganjani mzee mkapa kajipatia magodauni ya modulo kwa bei poa halafu kawauzia ten kwa bei yakutisha. Hana uchungu na nchi. Hela ya import support...
Kama sefue Huyu jamaa Nyoka kweli kila akitokea kwenye TV'S Nazima TV anajifanya kumushangaa mrisho kwa kila kitu wakati yeye ndiyo aliachiwa Ikulu wakati mzee wa msoga yuko safarini. Mhe pombe huyo jamaa ni hatari sana mpe kazi nyingine weka katibu mkuu wako McHale kazi. Huyu jamaa majungu tu...
Rais wangu angalia wengine watakutumia vibaya. Tatizo nyumba yako kuu haikuwa na dhamira ya kweli kupambana na rushes. Na huyo katibu ana ajenda zake za yona na Mramba. Ushauri muondoe katibu mkuu Sema katibu mkuu mwingine ili ufanye maamuzi yako. Kwa Dr Hossea Mheshimiwa Rais wangu...
Rais Huyu sasa ndo Rais pekee anayeweza kufanya kazi na Dr hossea. Mara nyingi ameomba apewe uwezo wa kukamata na kushitaki waziri mkuu alikataa mbele ya bunge. Mara nyingi akiwafuata wakubwa Simu nyingi zinapigwa na wakubwa. Rais wangu wa sasa hataki vi memo. Ni wakati sasa takukuru itaweza...
Mimi nafikiri Bill 300 ni kidogo sana. Mh pombe wamekudanganya. Unda tume ziko nyingi sana sana hizo ni only 25pct. Kazakhstan buti Rais wangu wasikuyumbishe hao
Mwacheni Rais wangu achape kazi. He umeshamusikia Javanese akizungumza kingereza ni ki Tutsi tupu. Lakini angalia Rwanda ulikoti. Mugabe Kuna Rais Africa anayejua kingereza kama Mugabe ,?Zimbabwe wako wapi mateso tupu.
Labda ndo maana hakuweza hata kutoa Yoruba ya kuwaaga watanzania. Safari Zane za nje aliwaacha mawaziri na watendaji wengine serikalini kujipakulia kwa Madrid wavyoweza. Unashangaa kuona watumishi wengi wa serikali ya nne Wana hela kuliko hata wafanyabiashara. No TZ Tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.