Kwanza kabisa ni kinyume cha kiapo chake cha uwaziri. Aliapa atamtii Rais na hatatoa siri ya mambo ya serkali isipokua kwa idhini ya Rais. Yeye mpaka sasa in mtumishi wa serkali hatakiwi kuyasema hayo aliyosema hats kama no kweli alikatazwa hiyo ilikua siri. Hivyo anafanya kosa la chini ya kiapo...
Let me jibu you so shortly,
Wale umati mkubwa waliomzika Magu ndo wanaojua walifanyiwa nini na JPM na nakueleza haitatokea Rais wa Tz akafariki na kuzikwa kwa mguso kama kifo cha JPM kilivyowagusa watu off course in near future.
Nitakuamini tu kama watu waliomsindikiza kwenye safari yake ya mwisho walikua ni masanamu.
Na kama walikua ni watu kweli najiuliza wewe una matatizo gani.
Him barua no Kali sana, mbona Tanzania imeacha kuchukua tahadhali tangu April mwaka Jana na bado watu wa Mungu wako salama! Bado hatuonyeshi appreciation hata kama ugonjwa umerudi ilitakiwa barua iandikwe kwa upole na kwa kumshukuru Mungu kutulinda kipindi cha kwanza na sasa tungeendelea...
Unless you tell me covid _ 19 is not as contagious as it said Tanzanians have been going on with their businesses since April 20 and if it was, we would have been seeing deaths in their numbers but it is not like that, this shows Tanzania is corona free
And if there a second insurgency of the...
If Kenya hasn't reached a USD 3000 mark, and it has been on free market economy ever since, then us Tanzanians keep on arguing amongst ourselves instead of cerebrating together this achievement.
After all what essence to 4th President to say all those at a funeral!
If I show critique, is right...
Kwa hiyo wewe, middle income is just USD 3000/= only, mind you,it not Tanzania that proclaimed itself to be on middle income, moreover the pace which was there was it enough to take Tanzania to be pronounced a middle income country today or is just you want to argue for the sake of,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.