Recent content by MAGARI7

  1. MAGARI7

    Daladala za Temeke asilimia kubwa (90%) ni Nissan Civilian. Je ni kwa nini?

    Ni kweli, Zipo nyingi sana.. tena nyingi nazionaga zimeandikwa 'said cops' kwenye njia hiyo Amezipamba vyema sana.
  2. MAGARI7

    Ushauri wa biashara ya daladala (Mwanza, Mbeya, Dodoma, Arusha, Tanga, Dar)

    Salaam wana Jf, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Pamekuwa na nyuzi kadhaa na maswali kadha wa kadha kutoka kwa watu ambao wanatamani kuifanya hii biashara, ila hawana uelewa wa kutosha. Hivyo, ninaomba Kwa wenye uzoefu wa biashara hii ya daladala Ningeomba watupe ushauri kwa...
  3. MAGARI7

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Basi, Toyota Voltz Itakufaa zaidi. Maana ina uvumilivu wa hali ya juu sana. Karibu uiagize kupitia Semsella Enterprises kutokea be forward uweze kupata nafasi ya kuilipia kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi saba. Karibu sana
  4. MAGARI7

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Cif = Tshs 13,835,000 Ushuru = Tshs 14,170,000= 28,005,000 Handling = $7*13.896= $98+ 18% vat = $115.64 Corridor levy = $0.3*13.896 = $4+ 18% vat = $4.72 Wharfage = 1.6%*$3,470= $96 = $216.36= Tshs 508,00 Pllus agency fee 200,000 = Tshs 708,000 = Tshs 28,713,000 plus 30,000 ya plate...
  5. MAGARI7

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    jangala, Kabla ya kukushauri, labda ungeweka wazi machache ilituweze kupata picha halisi itakayowawezesha na wachangiaji wengine kushauri. 1.Ukubwa wa familia/idadi ya watu unao takiwa kuwa unapakiza mara kwa mara 2. Wingi wa mizunguko yako 3. Hali ya barabara unayoitumia kwa kiwango kikubwa...
  6. MAGARI7

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Hii ni 11m Na kwa utaratibu wetu, unaweza kulipia Tshs 8,250,000 Gari ikifika, unakabidhiwa 2,750,000 iliyobaki Unamalizia kwa instalment Yaani kila mwezi Tshs 393,000 Kwa muda wa miezi 7 Karibu. Semsella Enterprises/ecarstanzania P.o.box 63178, Dar es salaam Shekilango, nhc plot...
  7. MAGARI7

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Ni kweli kabisa kaka Ahsante kwa kuongezea. Aidha, shipping, mara nyingi huwa nalipa kati ya $70 -75 hapo! Ahsante kwa kunikumbusha.
  8. MAGARI7

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Lengo la hii thread mzee, Nikusaidia watu wote ... kama unaweza kusoma vizuri hapo kaka, nilitoa wito kwa anaefahamu vingine ambavyo sifahamu ama sijaweka, naomba aweke/aongezee Nilisahau kuweka shipping line, ni kweli.. unaweza kusaidia kuongezea kaka
  9. MAGARI7

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Hii ni kama ifuatavyo Cif = Tshs 8,000,000 Ushuru = Tshs 9,802,000= 17,802,000 Handling = $7*15.066= $106+ 18% vat = $125 Corridor levy = $0.3*15.066 = $5 + 18% vat = $5 Wharfage = 1.6%*$3,470= $55.52 = $186 = Tshs 436,000 Pllus agency fee 200,000 = Tshs 636,000 + 636,000 = Tshs...
  10. MAGARI7

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Murano, nimeshindwa kukupa hesabu, sababu Kwenye total price Mimi imamionyesha 4,975,791) Wakati wewe inakuonyesha 4,105,201
  11. MAGARI7

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    Habari ndugu, Calculator inafanya kazi sawia kabisa .. na ndio hiyo tunayoitumia. Lakini, elewa kwamba, baada ya ushuru, kuna gharama zingine za bandari n.k Gharama ambazo huzikuti kwenye kikokotoo cha Tra. Kwa sababu hiyo, watu wengi wamekua wakipewa gharama kubwa ambazo sio sahihi na...
  12. MAGARI7

    Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

    TOYOTA VOLTZ Cif = Tshs 6,891,000 Ushuru = Tshs 7,048,000= 13,039,000 Handling = $7*12.348 = $86.436+ 18% vat = $102 Corridor levy = $0.3*12.348 = 4 + 18% vat = $4.72 Wharfage = 1.6%*2,976 = $47.616 = $155 = Tshs 364,000 Pllus agency fee 200,000 = Tshs 564,000 13,039,000 + 564,000 =...
Back
Top Bottom