Recent content by maganzo

  1. M

    Kuitwa kazini-PCCB

    Wadau tujuzane kwa anayefahamu kiwango cha mshahara upande wa investigation officer! Nashukuru mungu nimepata kazi nipo kitaa toka 2011! Mungu mkubwa amejibu maombi yangu:smiling:
  2. M

    Mwanza Community Bank Second Chance

    Kwa wale waliofanya online uptitude test tusaidieni maswali mliokutana nayo, kabla na sisi tulioitwa kwa mara ya pili hatujafungua hiyo online test angalau tujue ndani kuna nini
  3. M

    PCCB Wamemaliza Interview leo trh 14/03/2014

    Wewe kwani tatizo lako nini tulia subiri simu acha presha
  4. M

    Waliofanya Interview ya PCCB

    we ndio unadanganya watu usahili unaisha tar14
  5. M

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Chadema wamefanya vizuri kwani wamechukua kata kama tano hivi za ccm mwanzo mzuri......!!!!!!!!
  6. M

    LEAK: Document ya hukumu ya Godbless Lema HAPA

    Jimbo bado ni la Chadema vyovyote itakavyokuwa ngoja tungoje rufaa
Back
Top Bottom