Recent content by magangera

  1. M

    Foleni ya Mabatini Mwanza ni uzembe tu!

    Mimi nafikiri tofauti kabisa, foreni ya mabatini inatokana na uwepo wa njia moja inayoingia na kutoka mjini hali inayopelekea kuwapo na foleni muda wote.Anglia hata wakati wa mvua kubwa magari hulazimika kusimama kusubiria maji yakatike kutiririka barabarani. SULUHISHO LA FOLENI: serikali...
  2. M

    Chadema Serengeti Mara yaimarika Rasmi Kuing'oa CCM 2014/2015.

    Mungu awabariki ktk shughuri hiyo mkaitende kwa ukamilifu huku mkitambua ya kuwa kila mnapokusanyika wawili kwa umoja na uthabiti wa moyo malaika wa mungu huwa nanyi.
  3. M

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Binafsi naamini kabisa kila kitu huongozwa kwa kufuata kanuni na miiko iliyowekwa ktk kukifanya kitu hicho kiwepo, kama ilivyo kwenye familia sasa jifunzeni kusoma katiba inayokiongoza chama cha chadema vizuri ili mnapokuwa mnazungumza/ kuandika/ kuchangia muwe name uelewa mpana wa kujua ktk...
Back
Top Bottom