Picha inayoonekana imebebwa na mashabiki wa Yanga inawakilisha Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania na sio mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(CCM) kama unavyodai wewe. Pengine kama una hoja mbadala kuthibitisha madai yako karibu
Habari kila mmoja! Naitwa magana ni shabiki kindakindaki wa club pendwa kabisa ndani na nje ya mipaka ya nchi simba sc. Awali ya yote napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa watani wangu wa jadi young Africa kwa ushindi waliopata baada ya kuifunga club kubwa balani Africa kwa mikwaju ya...
Yanga hawakuwa na lengo la kumsajili triple C msiwaelewe vibaya wao lengo lao ni kusajili chama cha kisiasa yaani "chama cha wananchi Tanzania" sio chama mchezaji.[emoji28]
Bwalya ni "Unsung hero" mkuu, ungekuwa na jicho la kutizama soccer katika ualisia wake ungekubaliana na mimi. Lakini sikulaumu pengine umetoka katika ulimwengu wa waliofahamu soccer kwa njia ya kubet
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.