Punguza mihemko hakuna mtu anaetaka kujua hizo habari umezijuaje au unazijuaje maana ata wewe pia unajua vizuri hakuna kitu unachokijua.. imagine taarifa zako zinavyokaa.....,. "Mwaka 2021 Dr. Nikolas brah brah brah mambo sio mambo......... Nikolas anawatafuta okx brah brah brah okx...
Mkuu nimepitia comment zako nyingi na kati ya hizo umetumia maneno ya kashfa, dhiaka na kuona jamii ya pi network ni watu wenye uelewa wa chini/hawana uelewa kabisa kuhusiana na crypto. Pengine uko sahihi au unaweza ukawa wewe ndiye amepotoka zaidi. Ni kweli pi network wanahitaji pioneer kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.