AliExpress ni application inayo jihusisha na biashara mtandao.yaani wanauza nakusafirisha bidhaa tofauti tofauti na kusafirisha mpaka Kwa mteja
pahala pengi duniani.
Nashukuru Kwa mchango wako naona unawezekana kwani Nina account Stan Bic basi ntawaona Ili waiwezeshe account yangu kuweza kufanya malipo hayo .shukrani sana ndg yangu Kwa mchango wako
Nashukuru sana ndg yangu Kwa ufafanuzi wako mzuri juu ya namna yakufanya malipo. Ntafuata maelekezo Yako nitengeneze Airtel visa card,nikifanya hivo tatizo litakuwa kwisha.shukrani sana .
Ndg ZANGU kwayeyote anaetumia mtandao wa AliExpress naomba kujulishwa namna ya kufanya malipo Kwa bidhaa itayofanyiwa order wao wanaelekeza nifanye Kwa card nami sinakadi ndio maana nauliza kama nawezalipia Kwa Mpesa ama mtandao wowote maana nimejaribu kuona namna yakufanya hayo malipo kwasimu...
Raisi wa Tanzania marakadhaa amekuwa akisisitiza sana Watanzania tudumishe AMANI,wanasiasa , viongozi wa dini, wananchi wa kawaida, wote wanasisitiza AMANI.yamkini hapa kunatatizo linalopelekea watu wote hawa kuona kunakiashiria cha ukosefu wa AMANI na kuamua kuweka msisitizo juu ya kuilinda...
Hakika kwakupeleka malalamiko yetu sie wanyonge hapajulikani labda hapo uliposhauri. Kwani nimepeleka malalamiko mpaka Tanroads Makao makuu lakini halihii bado inaendelea. Hawa Tanroads mkoa wa Dar ukipeleka malalamiko tena Pamoja navielele,, zo, Meneja mzima anakuhoji LAKINI KWA NINI WEWE TU...
Ni kilio chetu madereva mzani huu umekuwa hauna usahihi wa vipimo vyake, na mara nyingi magari yamekuwa ya kuzuiwa pale Taifa kwa madai kuwa yamezidi uzito na kupelekea wahusika kuandika faini kubwa ilihali uhalisia wa vipimo sio sahihi, gari na uzito huo huo ikipimwa hapo Taifa huweza kuzidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.