Recent content by MAGAFU

  1. M

    Waziri Selemani Jafo: Shule za umma zimeboreshwa sana, shule nyingi za binafsi zitashindwa kujiendesha na kufa

    Yeye mwenyewe badala ya kusema Test Tube kasema You tube halafu unategemea atakuwa na mawazo sahihi ya uboreshaji taaluma kweli?
  2. M

    Waziri Selemani Jafo: Shule za umma zimeboreshwa sana, shule nyingi za binafsi zitashindwa kujiendesha na kufa

    Yeye mwenyewe badala ya kusema Test Tube kasema You tube halafu unategemea atakuwa na mawazo sahihi ya uboreshaji taaluma kweli?
  3. M

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Maana ya Deo ni Mungu from "Deus" lakini unayoyasema hayaendani na Umungu bali ushetani mtupu. Hulitendei haki jina Deo
  4. M

    Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniface Jacob apigana na mbunge wa Arusha mjini Godlbess Lema Kwenye Kikao cha Kamati kuu

    Heading inasema Lema apigwa ngumi but content inasema alirusha ngumi. Nway sisi wakurya huwa tunarushiana then Mambo yanaenda sawa hatuna muda wa kuanza kusengenyana kama wadada
  5. M

    Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniface Jacob apigana na mbunge wa Arusha mjini Godlbess Lema Kwenye Kikao cha Kamati kuu

    Heading inasema Lema apigwa ngumi but content inasema alirusha ngumi. Nway sisi wakurya huwa tunarushiana then Mambo yanaenda sawa hatuna muda wa kuanza kusengenyana kama wadada
  6. M

    Ni shujaa wa taifa! Kinyago uchonge mwenyewe halafu kinakutisha? Just do the needful!

    Nadhani hatuhitaji waandishi wenye upande fulani Bali tunahitaji waandishi wenye weredi wa kutosha kung'amua jema na baya na kulisemea panapotakiwa katika wakati muafaka. Nakuelewa Mzee wangu Paskali na somo lako lililopita la Insanity na hili la leo yananifungua zaidi katika kukuelewa vyema...
  7. M

    DPP Tupilia mbali kesi zote za madawa ya kulevya zilizotengezwa na RC na Kamanda Sirro

    Back to your point,Ulitaka haki ipi aipate kama aliwakimbia hao watoa haki? Mtu alikuwa radhi kupitia mlango wa nyuma kuikimbia tume bado unasema hakupewa haki. Uungwana ni vitendo na hivyo tumsaidie kijana mwenzetu aweze ku realize kwamba alichokifanya ni kosa na anapaswa to the least kuomba...
  8. M

    Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

    Katika elimu ya matibabu ya matatizo ya akili kuna kitu kinaitwa INSIGHT,kabla hujaamua kumpatia mgonjwa matibabu lazima ufanye Mental State Examination na hii ndio itakuambia kama mgonjwa ana good insight au poor insight.Good ni pale mgonjwa anapotambua kwamba ni mgonjwa kweli na anahitaji...
  9. M

    Chama cha CUF kiko hatarini kufutwa na Msajili wa vyama vya siasa

    Toa shaka Mkuu,Tundu Lissu in da house
  10. M

    Maadhimisho ya Mwaka Mmoja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuwa madarakani

    Kwakweli acha tu Gwajima amseme maana nayeye anapenda popularity sana,yan kweli mpaka unafanya anniversary ya uongozi na unapewa airtime kubwa hivyo na wakati kuna watu wamezaliwa ni viongozi mpaka leo hawajaadhimisha miaka 50 ya utumishi? Dah Gwajima endelea tu kwani something is wrong,katika...
  11. M

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kama umewahi kusoma utaufahamu umuhimu wa kuonyesha cheti kinapohitajika. Acheni kuzungusha Mambo weka cheti mezani
  12. M

    Taifa linalishwa uongo, sio Trump wala Magufuli

    Hebu nitajie chochote kinachomfanya kuwa Bora Africa kilichomletea unafuu wa maisha mwananchi wake. ukishindwa just shut up
  13. M

    Peter Msigwa: Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

    Wakati wa Kikwete alilipa wafanyakazi hewa, akalipa wanafunzi hewa,akaajiri,pesa ilipatikana mtaani na kila mtu alikula kulingana na urefu wa kamba yake,hakika kila mtu alipata fursa kulingana na nafasi yake. Mzee kikwete kilichomsaidia ni exposure aloipata tangu zamani na Nina uhakika angekuwa...
  14. M

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Dini ni opioid dini ni kama fomalin,watu wanafuata dini ili wapate relief ya matatizo kadha wa kadha yanayowakumba,watu wanatafuta amani ya mioyo, watu wanatafuta kufarijiwa kusikilizwa na kutuliwa mizigo yao, Je ni nani asiyependa kumsikiliza Mtu anayemwonyesha njia ya kutua matatizo yake? Nani...
Back
Top Bottom