Recent content by mafutememasasi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Recategorization baada ya kuajiriwa serikalini

    Umesoma nini Ndugu yangu naomba unipigie simu nikupe utaratibu WA kufuata. ambao no rahisi sana.0755759404
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kunani Shule za wasichana za Bweni na wanafunzi 'Kupandisha Mashetani'?

    Hili ni lakweli Mimi mtoto wangu alikuwa anasoma shule moja Naiihifadhi alipata tati
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya hili halijakaa vizuri kabisa

    Hapa bado kuna utata no vizuri kama tungeshirikishwa na kutoa maoni yetu lakini wamekurupuka tu na kuweka masharti ya kwao na si ya wanachama vyama vya wafanyakazi visaidie kwa hili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania I am waiting for those men who leave their wives at home

    0754622328
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watu Mashuhuri Karagwe

    Ni mwanataaluma naye no Profesa Katoke I.ambaye aliandika The History of KARAGWE mbona hatumkumbuki.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya semi imeanguka kwenye milima ya Sekenke

    Sekenke iko Mkoa WA Singida na nisingepiga picha kwa vile nilikuwa ndani ya Bus.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya semi imeanguka kwenye milima ya Sekenke

    Kilicho nishitusha ni Kuona watu wanakimbilia pale wakiwa na madumu ya kuchotea mafuta.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Karagwe na Wanyambo wanaopatikana mkoa wa Kagera

    KARAGWE inafursa nyingi sana za kiuchumi pamoja misimu miwili ya mvua kwa mwaka inawafanya kulima na kuvuna Mara mbili .
  9. M

    JamiiForums Tanzania Canal mstaafu Fabiani Massawe

    Akiwa MKUU WA wilaya KARAGWE alisimamia suala LA usafi mpaka wrote tukafurahi sana pia mji WA Kayanga ulikuwa no WA mfano kwa wilaya yingine
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood

    Unafana na bwana .mmoja alipata lifiti kwenye gari ya ndugu yangu WA Nzega na kuacha geg ndani ya gari had I LEO.
  11. M

    JamiiForums Tanzania MV Victoria yanusurika kuzama karibu na Kemondo Bukoba

    Wabunge WA Mkoa WA Kagera waliliona mapema lakini waziri aliwabishia wakati WA budget
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rav 4, ya 2003 nzuri sana bei 12M

    Andika namba yake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastiki ni janga la mazingira

    Inaskitisha sana uchafuzi wa mazingira imekuwa sehemu ya utamaduni wetu sababu kila siku unaongeke uchafuzi has a plastiki katika miji yeti. Namkumbuka Mkuu WA Mkoa Kagera kwa jitihada zake.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ng'ombe wa Maziwa

    Mimi Nina NG'OMBE WA maziwa wapo Karagwe
Back
Top Bottom