Recent content by mafimboo

  1. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri mashine za EFD kutofanya kazi

    watasalimu amri tu ,wataziondoa wenyewe na kurudi kwenye daftari
  2. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Sugu: Rais Magufuli kusafiri nje ya nchi hakuepukiki

    unakataa kusafiri kwenda nje ya nchi halafu unaaigiza kutoka huko mastandard gauge,basi acha kuagiza hapo utaeleweka
  3. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Siasa inavyoua elimu ya kitanzania

    Kimsingi elimu ya kitanzania ni moja ya elimu isiyofaa katika dunia ya leo, mfumo wa elimu ya tanzania umeunganishwa na siasa na kujichimbia katika siasa,jambo ambalo ni hatari kwa ustawi wa elimu yetu elimu inapaswa kuamua nini inataka na sio wanasiasa wanataka nini katika elimu. Tumeshuhudia...
  4. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Je, miaka 7 bado ni umri sahihi kumuanzisha mtoto shule ya msingi?

    sisahihi hata kidogo kumuanzisha mtoto shule akiwa na umri wamiaka saba ,huu ulikuwa mfumo wa kikoloni mtoto anatakiwa kuanza shule mapema iwezekanavyo anapoweza kutambua mambo ya msingi .
  5. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii

    Ripoti ya CAG,inasema ccm imekopa fedha kutoja mufuko ya hifadhi ya jamii halafu imeshindwa kulipa,halafu unategemea nini,ni kufuta fao la kujitoa maana hataweza kuwalipa watu wakijitoa,hivi ccm ni chama cha siasa kinapewa na nani ridha ya kukopa hela za watumishi ,hivi ccm ulishindwa kwenda...
  6. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Siri ya Magufuli kuogopa kuigusa IPTL ambayo inalipwa milioni 400 kwa siku na TANESCO

    Haaaa hao mafisadi wamezidi kwa kweli,kusema ukweli siwawezi,wachaniendelee na saga za viwandooo ,mabobadiernna mastiglaaa joji bila kusaha mastandadi geji na mwisho ntawahakiki watumishi,naichukia mitandao
  7. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Dr Mahiga: Tanzania haitapeleka ubalozi Jerusalem

    Hivi tunawashwa na nini?,hivi Tz nayo ni nchi,embu tungewalipa watumishi mishahara,tungejikita zaidi kutoa mikopo bila ubaguzi vyuoni,kushusha bei za nishati kama maji na umeme,mambo ya mabeberu ya dunia hii yanatushia nini
  8. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Kamishna wa TRA kwa biashara zilizofungwa ni kufanya 'damage control'

    Nani afungue biashara kwa vitisho vya serikali hii?
  9. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Bajeti ilipokuwa Trilioni 1.1 Wizara ya Afya ilishindwa kuajiri watumishi wapya; sasa ni Bilioni 890 itaajiri vipi 8000?

    We unaamini serikali itaajiri wafanya kazi 8000,subhutu yake ,hii serikali ya waongo
  10. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, Kwa mtindo huu FINCA itawamaliza Watanzania

    Benki ya mafisadi jiwe kawagwaya
  11. mafimboo

    JamiiForums Tanzania E-tax banking issues: Mwenye kusoma na aelewe

    Jiwe anazidi kulalia tu ,so tumempa rungu ,dawa ni kujihadhari
  12. mafimboo

    JamiiForums Tanzania DC aagiza Mkurugenzi Namaingo kukamatwa kwa kutapeli wananchi 4000 na kukusanya pesa zaidi ya TZS Bilioni moja

    Huyu alistahili kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam
  13. mafimboo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atoa siku tatu kwa wafanyabiashara kusambaza mafuta nchini tena kwa bei ile ile

    mmmmhhhh naogopa yale ya sukari,bwana tusaidie waja wako naona kiama cha mafuta ya kula kinakuja,eee bwana sukari imetuachia majonzi na machungu mpaka leo,bwana zuia janga la mafuta lisitupige
Back
Top Bottom