Recent content by Mafanikios

  1. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Mkuu hata kama chadema wangesema bado hawajampata mgombea so wanaomba wachague kivuli wangechagua lakini sio kuwapa magamba kura
  2. M

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    ha ha haaaaaaaaaaaaaaa chezea digitali weyeeeee, yaaan hata Chadema marekani anaweza toa matokeo ya Arusha sembuse kinondoni? ha ha ha haaaaaa tanzania ya leo sio ya mwaka 2005.kitu kinahesabiwa na kutupiwa hewani mara moja wengine kazi yetu ni kuhesabu na kujua mshindi ni nani ha ha ha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kawambwa na sisi Waalimu lazima kieleweke kwenye bajeti ya Elimu

    mbulula wa akili ww!! ni nani aliekuambia kudai haki yako ni lazima uwe na umri fulani? kama wanaopitisha maamuzi ya elim ni wanasiasa kwanini elimu isiwe kwenye siasa? huyu mwalimu kaeleza hali halisi ya walimu nchini na kaeleza au katoa jibu la kwanini wanafunzi wamefeli mwaka huu, alafu ww...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lwakatare ataichafua Tanzania

    "Ni mambo yale yale, walianza chama hiki cha familia ya Mtei na Mbowe, ikashindikana, chama hiki cha kikabila, cha Wachaga… ikashindikana, wakasema chama hiki cha kaskazini, imeshindikana, wamesema chama hiki cha wakatoliki, ikashindikana, wamesema chama hiki cha wakristo bado Watanzania...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi agizo la ACP Charles Kenyela kamanda wa polisi Kinondoni kuzuia mkutano

    kwani intelijensia ya polis haikujua kuwa msafara wa easy ungeua siku ile maana wangesitisha ule msafala wala wasinge mpoteza polisi mwenzao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi agizo la ACP Charles Kenyela kamanda wa polisi Kinondoni kuzuia mkutano

    inaelekea kipindi unasoma ulikuwa maarufu wa kukeremua zaidi ya kuelewa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi agizo la ACP Charles Kenyela kamanda wa polisi Kinondoni kuzuia mkutano

    kwani kilichotokea juzi kati pale bamaga we hukijui au kusoma hujui hata picha nazo hutambui, daaaah!!!! kazi kweli kweli.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi agizo la ACP Charles Kenyela kamanda wa polisi Kinondoni kuzuia mkutano

    kwani intelijensia ya polis haikujua kuwa msafara wa raisi ungeua siku ile maana wangesitisha ule msafala wala wasinge mpoteza polisi mwenzao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 7 baada ya CCM kurusha "kete"... Wamefanikiwa asilimia ngapi?

    Najiuliza kila siku ila nakosa jibu, hivi hawa masisiem watamsimamisha mgombea gani mwenye mvuto katika jamii ambae ataweza kupambana na Dr.Slaa? Mbaya zaidi na hivi vimadai vya chinichini kwamba safari hii zamu ya walio katikati ya bahari ndio daa nachoka kabisa. wanashida kwelikweli waache...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Mnyika yamtisha JK

    nakutilia mashaka ndugu yangu maana hata yule mwenye darasa la nne la mkoloni yuko juu zaid yako :nono:
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Elimu ni maarifa na sio vyeti, Big up jjm pamoja sana mp wetu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii nahisi yaweza kuwa kweli

    tume elimika na tunatambua mnacho fanya kwenye siasa na tunajua kuwaambia ukweli. Mtanzania wa leo sio kama wa zamani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii nahisi yaweza kuwa kweli

    kwa sisi wenye upeo mkubwa wa kufikiri na kuona namna ambavyo nchi yetu inavyo endeshwa hatuna haja ya kuelekezwa zaidi kama nyama tumesha jazia wenyewe na kama alikuwa ni ng'ombe basi kanona hata kutembea anashindwa na kama ni binadam basi ni bonge zaidi ya marehem pepe kale :rockon:
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii nahisi yaweza kuwa kweli

    nahisi kawasaliti wenzake walio jipa likizo ndio maana anakuja huku anashangaa hajui kinachoendelea dah!! kaz kweli kweli!! :nono:
  15. M

    JamiiForums Tanzania Meck Sadick: Maji Dar, watakaoandamana wanapoteza muda wao

    yamekuja vip maandamano ya maji na udini? acha izo mambo
Back
Top Bottom