Recent content by maestrojay

  1. maestrojay

    Ijue Botswana japo kidogo tu

    Najiuliza tu hivi ni kweli mademu wa botswana ni mazuri sana kama wanavyosifiwa humu kwenye hii thread bt kiuhalisia ni kwamba wabotswana ni wa kawaida sana hawawezi wakawazidi mademu wakali toka Angola balaa na majirani zetu watoto wa kinyarwanda. Ila cha kusikitisha ngoma imeitafuna sana...
  2. maestrojay

    Kuna uhusiano gani Kati ya mapenzi na mazoezi??

    Hizi gym sometyms ni showoff tu siku hizi nahisi zimevamiwa kwa maana inawezekana ni 10 percent tu ndo wanaenda kwa nia ya kujiweka fit the rest 90 percent wana nia zingine zaidi ya mazoezi take my word
  3. maestrojay

    Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

    Take note sometyms utakuta kila unayekutana nae mkaongea atakuambia ukoo wao wote ni maproffessor kuanzia Muganyizi, Rweyemamu, Rwezaura, Rutashobya, Rutta, utaendelea kukutajia majina mengine zaidi mpaka utamwambia kamanda inatosha tubadilishe story
  4. maestrojay

    Tahadhari kwa wapenzi wa kwenda ufukweni hasa wanawake

    Hawa mabeach boy ndo michezo yao hiyo maana kwenye maji mkurunge haupati tabu kwenye kuingia fasta tu mdada anastukia wazungu hao duh
  5. maestrojay

    Kuna uhusiano gani Kati ya mapenzi na mazoezi??

    Unaweza ukawa mtu wa mazoezi lakini ukawa mbovu tu kwenye uwanja wa sita kwa sita
Back
Top Bottom