Recent content by Maengo

  1. M

    Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    Mimi zangu huwa naziacha nyumbani halafu naondoka na gari tu kuepuka kuwakera watu huko niendako...
  2. M

    Mwai Kibaki road aibu

    Hivi iliyopewa jina la Kibaki ni old bagamoyo rd au new bagamoyo rd inayoanzia mwenge?
  3. M

    TBC rusheni Matangazo Live juu ya uokoaji unaoendelea kwenye Jengo lilliloanguka Dar!

    Waache kuonesha taarab na chereko wakuletee ww habari ya ghorofa?maana ndo vipind vyao hvyo! Chezea tbc ww!
  4. M

    Aibu ya kitaifa kwenye ujio wa Rais wa China: Tunakipuuza Kiswahili mbele za wageni?

    Unashangaa nn? Lugha? Mbona watu siku hiz wanafanya malipo kwa US$ na hujahoji! Tz ni maajabu mengine aisee!
  5. M

    Kwa nini Kikwete na serikali yake wamefikiri hivi kuhusu ya Zanzibar?

    Neno 'wenda' linanichefua! Nini maana yake? Au ni jina la mtu? Labda mimi kiswahili changu kidogo! Nimeshindwa kumalizia mada kwa sababu ya hilo neno japo mada ni nzuri sana.
  6. M

    Mauwaji ya Alan Greaves wezetu hawakurukia Udini ijapokuwa waisilamu ni wengi eneo hilo

    Na kwann hukujiuliza ni kwann makanisa yanayochomwa kila siku siyo ya R.C bali yale ya pentecoste?
  7. M

    Lusekelo: Kawafananisha ma-dr. Wa tanzania na wauaji wa albino!!

    Tufanye wewe ndo ungekuwa daktari, overtime unalipwa 10000 halaf mshahara mbuzi na wakati mwingine unakata hata miezi mitatu hujaupata! Hivi ukienda hospitali kufanyiwa upasuaji halaf daktari mwenyewe ni yule mwenye stress za mshahara na mazingira duni ya kufanyia kazi, akakufanyia upasuaji...
  8. M

    Siri ya thamani ya mimba

    Nimekubali mkuu! Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ukiwa unapenda kusema maneno machafu wakati wa tendo la ndoa basi kuna uwezekano mkubwa kuzaa toto tukutu na jeuri linalopenda kutukana hovyo!
  9. M

    Vimbwanga vya miaka 35 ya Uhuru ya CCM.

    Mtu anaumwa halafu eti wewe unampelekea sabuni, wap na wap?
  10. M

    Analysis ya sherehe za miaka 35 ya ccm

    Hebu badilisha heading yako! Unataka TBC waoneshe nin wakati hiyo ndio hali halis ya Mtanzani?
  11. M

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    Acha maswali ya kitoto ww! Sh 100 ipi unayoulizia? Kama wale umewarudishia 100 kila mmoja basi wao watadhan wamekuchangia 4900kila mmoja, lakin kumbuka ile 100 ambayo umechakachua ipo ktk hizo 4900 za kila mmoja! Kwa maana hyo ukiito hiyo 100 ina maana kila mmoja atakuwa amechanga 4850! Sasa...
  12. M

    Yaani hizi "X" zinakera!!!!aaaagh....

    Wanaitwa SWAGGA.
  13. M

    Nina hamu kubwa na Bann.

    Haya tuanze; hiloo lione...!
Back
Top Bottom