Msaada wakubwa Ni kozi gani bora kwa sas kusomea apa tanzania ambayo haitokufanya huaso mtaani ukishasoma na pia inaweza ikawa na opportunity ya kuajiriwa na kujiari.
Nimefanya mtihan wa kujiunga na veta jina langu halijatoka nilitaka kusoma electrical installation long course nahitaj kusoma mwakan anejua naomba anijuze nin cha kufanya wakubwa
Naombeni kujua wakubwa hiv majibu ya kujiunga na veta yanarushwa online au unaenda kuangalia veta mana nilifanya mtihan wa kujiunga veta chang'ombe mwez wa kumi
Naombeni msaada nimetuma maombi ya kujiunga na veta lkn nikeambiwa kutakuwa na mtihan wa kujiunga Sasa sijajua nijiandaaje na nin wanapenda kutoa msaada wakubwa kwa anae faham anijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.