Recent content by maduka7

  1. M

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji huyu huyu amekua na upako wa kuangusha watu?!

    Kwani unahitaji kitu gani special mpaka kumuombea mtu mpaka mapepo yamuangushe ambacho Masanja hana?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tukisema makanisa ni taasisi za kibiashara na kiutawala kwa mgongo wa imani watu huchukia?

    Halaf kesho uje na kapost kengine kanakowazungumzia wanaowapelekea wapiga ramli mbuzi, kuku, ng'ombe na mkwanja halafu wanaishia kuchanjwa nyembe mwili mzima ili kubalance story mana huko nako ndo ovyo x ovyo[emoji3][emoji3][emoji3]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Samatta kapiga hat-trick

    Of coz mechi ilikuwa taf lkn genk wameupiga mwingi hasa yule Trossad#14 nomaaa Smattaa atafika mbalii Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ubelgiji: Tundu Lissu aruhusiwa kutoka Hospitalini

    Pole Sana kamanda
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya DED na DAS nani bosi wa mwingine?

    Kwa uwepo wa DED hakuna haja ya kuwepo DAS
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Kumuweka jela mwana siasa ni sawa na kumuongezea umaarufu
Back
Top Bottom