Recent content by madudeyahatari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kushangiliwa kwa Lowassa msibani Arusha?

    [emoji41]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kushangiliwa kwa Lowassa msibani Arusha?

    Very nice [emoji41]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kushangiliwa kwa Lowassa msibani Arusha?

    Maigizo ya kishamba sana, w watu wanamachungu ya kupoteza wapendwa Wao nyie mnaleta makofi msibani? Ama kweli ukistaajabu ya Mussa, ya firauni yatakushinda. Watanzania mbadileke
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ili kumkomoa Lipumba na CCM, Maalim Seif akubali kukaa meza moja na Lipumba

    Salam, narudia kukusihi tena mkutane na Lipumba myamalize kwa afya ya CUF. Hakuna linaloshindikana chini ya jua. Lipumba yupo tayari kuongea na wewe, cooldown Jaribu kukutana nae, please. Majadiliano ndo la msingi. Vinginevyo mtagawana mbao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kuwagaragaza vijana wa vyama vya Upinzani kwangu Mimi Paul Makonda ni mfano wa kuigwa

    Anaeleta picha hizi ni Sawa na mchawi, kifupi wewe ni mbomoaji
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kessy akiwa aanafurahia gari aliyopewa na Magufuli

    Du! mjomba, we Noma
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kessy akiwa aanafurahia gari aliyopewa na Magufuli

    Sasa kama kuna sehemu serikali inafanya kweli kwa Nini wasiseme?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kessy akiwa aanafurahia gari aliyopewa na Magufuli

    Sana Ali kessy. Hatuwezi fanana mitzamo, kwa raha zako
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Rais vibaya au nilikuwa naota? Eti wawekezaji Tanzania watapewa Tax Holiday!!

    Nimekulewa. Mambo ni fifty fifty
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Rais vibaya au nilikuwa naota? Eti wawekezaji Tanzania watapewa Tax Holiday!!

    Rais hajalalamika, anapiga kazi, acheni katensi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Rais vibaya au nilikuwa naota? Eti wawekezaji Tanzania watapewa Tax Holiday!!

    Wale hawakua wawekezaji, ni majizi. Kama walikua wawekezaji, na walikua wanalipa halalali serikalini Nini kiliwakimbiza wakati wapo kihalali?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Rais vibaya au nilikuwa naota? Eti wawekezaji Tanzania watapewa Tax Holiday!!

    Tulia mjomba, Urais ni zaidi ya Magufuli. Ni taasisi, tuiache ifanye kazi. Aftrall kuna improvement baadhi ya maeneo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Priorities za Rais wangu. Haiwezekani roho 35 zipotee na asihudhurie

    Wewe ni nani unaesema hakua na excuse?, fisi maji we
Back
Top Bottom