Recent content by madrid123

  1. M

    JamiiForums Tanzania TTCL waita watu kwa usaili

    Sawa mkuu kwa kuniponda. Cha msingi toa ushauri mzuri sio kejeli aisee
  2. M

    JamiiForums Tanzania TTCL waita watu kwa usaili

    Hata mie walinitumia ujumbe wa e-mail. But Sina uhakika coz Mbona waliandika tuende na material? Na mbona kwenye website Yao Hakuna tangazo Lolote?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: UKAWA Kuibuka washindi dhidi ya CCM. Kikwete kusalimu Amri kwa Lowassa

    Amina na amani ya tiara letu lidumu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    Kwanza mkoa gani ni maskini unlike mkoa wote? Acha uongo wewe! Kama humtaki Lowasa kampigie Kura Magufuli tu uko huru sio kulalamika hapa. Sawa kijana. Kwani Monduli ndio maskini peke yake? Huna hoja
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    Ulienda huko Monduli ndio ukaona maskini? Wivu wa maendeleo nyie
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma na Mtwara wajiunga na CCM

    Hi haki yake kuhama
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wameshindwa kujenga jengo la chama chao mkiwapa kazi ya kujenga nchi wataweza

    Mleta mada huna point! maswali ya kijinga kijinga Hayo! badala ufikirie maendeleo yajao uanuliza maswali hayana msingi!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa mgombea mwenza wa CCM Arusha

    Wataisoma namba!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: CCM hainunuliki, vile vile Watanzania wengi hawanunuliki

    kama hawanunuliki. Mbona kura za maoni ubumge mlitoa rushwa? hadi nape kule mtama alitoa rushwa mchana kweupee! hatudanganyiki sie! nyie ndio mabingwa wa kununua wanachama na kuiba kura za wananchi!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Hata awe mgonjwa we want change! marehemu sata wa zambia naye alikuwa mgonjwa but wananchi wa zambia walimchagua. Na wewe kijana ugonjwa wake Lowasa haikihusu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Safi sana nawatakia ushindi na mafanikio mema! Mungu awaongoze salama
  12. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli mgombea urais asiyeogopa ushindani

    Kama anazijua shida zetu. Mbona mkubwa wake alishindwa kutekeleza ahadi alizotuahidi maisha bora kwa kila mtanzania? ajira hakuna miaka yote kumi unadhani pa fupi? Mnajua kuongea sana na utamu utamu wa maneno lakini utendaji hakuna. We need change!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu asema Rais wake ni Magufuli, wengine ni wa kukodisha

    Wema yeye ni nani.? Akafanye mambo yake ya maigizo sio huku kwenye siasa. anadhani uongozi ni club ya starehe?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya habari channel 10 Magufuli adanganya umma kuwa ndiye anajenga barabara

    Hoja zenu hazina hata maana. Jadilini maendeleo sio mnaleta mambo ambayo hayana faida!!
Back
Top Bottom