Recent content by madodo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila aliangusha serikali #ESCROW ufisadi, Lembeli #TOKOMEZA. Yamewakuta! Hawa ndio watanzania!

    Hii nchi tunaangushwa sana namijitu yahuko vijijini hivi imajin kafulila angekuwa mbunge wa dar angekosa kweli ubunge.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Yatizo kwawale wacojua yule Dada wamemweka juu mtatiro chini sasa mtu akiona chaedema anapiga hapo kumbe ndo anapoharibu kura.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kaka mm nilisema humu toka saa 3 asubui nimetoka kupiga kura. Jamaa zangu wawili wamempigia huyo Dada wachadema. Kura nyingi zimeharibika kwakupigiwa huyu Dada.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kweli mkuu wanatakiwa kumkata maana mm jamaa zangu wawili wamempigia kura mbili sasa nawengine wakioiga itakuwaje kura hizi alitakiwa apate mtatiro sasa zinaharibika. Namawakala wetu kwani wanakazi gani wanashindwa hata kutoa maelekezo kwa wapiga kura. Mtatiro mwenyewe anatakiwa kulishugulikia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mkuu wapa bima pekee yangu ndo nimepigia mtatiro lakini jamaa zangu wawili wamempigia huyu Dada bila kujua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mm nauliza huku jimbo la segerea huyu dada wachadema yupo au walishamkata akabaki mtatiro maana wanatuchanganya kwenye karatasi yakura wapo wote watu wengine wanampigia mtatiro wengine huyu Dada tunetoka kuna watu wanasema yule Dada hayupo niwanatunganyafu sasa ukweli ni upi wanaukawa maana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Tatizo mkuu napata wacwac kwamba yupo mtatiro pia yupo huyu Dada wachadema sasa kura zinagawanyika kama mm tumetoka kupiga kura hapa bima mm nimempa mtatiro ila kuna jamaa yangu kampa huyu Dada sasa hili ni tatizo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

    Ww ndo unamahesabu yakizamani eti ukawa watagawana kura. Kwani ccm wanapanet kura zipi unazozijua mwaka huu. Ccm ndo kura zao zitagawanwa coz kuna watu wako ccm na kura watampigia lowasa lakini hakuna ukawa atakaempigia kura magufuli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kingwendu kuchukua Kisarawe kabla hata ya kupiga kura

  10. M

    JamiiForums Tanzania Kingwendu kuchukua Kisarawe kabla hata ya kupiga kura

    Uko ukawa ipi mkuu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    Yeriko nyerere -wakuteuliwa na rais
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika aongea na waandishi ngome kuu ya UKAWA, awajibu NEC

    Sasa ww na mnyika anaeropoka nani. Makalio ya bibi yako shamba.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika aongea na waandishi ngome kuu ya UKAWA, awajibu NEC

    Kweli anafanya kazi yakupiga pushap.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika aongea na waandishi ngome kuu ya UKAWA, awajibu NEC

    انت لء اف وو
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika aongea na waandishi ngome kuu ya UKAWA, awajibu NEC

    Bac mpeleke babako bungeni au mamako.
Back
Top Bottom