Recent content by madindae

  1. madindae

    Natafuta mume

    Kwa mwanaume vigezo kibao kwako mmmmm kazi inayokuingizia kipato unayo
  2. madindae

    Mkutano wa Umoja wa Afrika: Nchi 23 zaweka saini mkataba wa anga huru; Tanzania hatumo

    Kuruka tutaruka popote isipokuwa isipokuwa kunataratibu ambazo zinakuwa kero japo sio sana ktk utendaji wa kazi sio kwamba hatutaruka no (halafu ss tunalieneo likubwa hata hatujamaliza kuruka unataka twende nje kufanya nn)
  3. madindae

    Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

    Utoto raha anakwenda kuchukua kadogodogo kenzake jamani uzee unadawa zake hawa vijana mm akhaaaaa
  4. madindae

    Nikki wa Pili ashambuliwa baada ya kuwalaumu CNN na BBC kwa kumuonesha Tundu Lissu

    Usilomwelewa.mtu sema hujaelewa na sio hajui sa wana fasihi tunaojua kuumiza vichwa tunaelewa hiyo ni taaluma yake
  5. madindae

    Nidhamu hata kwa wanyama

    Huku kwetu kuna mambo kama haya
Back
Top Bottom