MKE KAMZIDI MSHAHARA MUME...hivi mnadeal nayo vipi hii....ile desturi ya kuwa Mwanamme ndo provider wa familia inakuwaje hapa.....!! na Je mahitaji yako yanakuwaje as Mwanamke, utahudumiwa au ndo inakuwa juu yako...
La mwisho, Mnagawana vipi majukumu.....please lets discuss hasa wenye uzoefu..!!