Imekuwa kawaida viongozi wa kitaifa wanapotembelea mikoa na wilaya na maeneo mengine nje ya Dar es salaam, hii inakuwa faraja na furaha kwa sisi wa bara.
Issue inakuwa, ni kweli viongozi wanahitaji ulinzi na usalama wao, na pia shauku ya sisi wa bara kutaka kuwaona hao viongozi inapitiliza...
Hebu mwenye kujua hitima ya hizi scandle mwisho wake ilikuwa nini
Minofu ya samaki
Mashamba ya Mkonge
Richmond
Epa
Escrow & IPTL
Na sasa makinikia ya Acacia
mwisho ya hizi zote ilikuwa nini
Naongea na jamaa hapa kuhusu hali ya maisha, km hali itaendelea katika hali hii sijui mutawaeleza nini wanainchi maana hasira waliyo nao sijui. anywaway hali ya hewa itaamua km jua au mvua
Usukumani kuna goma zinashidanishwa kwa wingi wa watu, pande mbili hushindanishwa na mshindi hutathiminiwa kwa wingi wa watu; ikitokea anayeshidwa ana akili kama ya Mwigulu Nchemba, na uhuni usiofaa, wanarusha mayai viza na kuyavuja kunako hadhara ya anayeelekea kushinda , hapo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.