Recent content by Madameh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuchukua Fremu ya elfu 30 eneo ambalo sio changanyikeni au elfu 50 sehemu iliyochangamka?

    Kma Kuna hizo fremu nipe Moja aiseee natfta fremu jamani ya nguo au mtu wa kuchangia nae fremu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu mabalo ya mtumba ya nguo za watoto

    Unataka viatu vya aina gani Kuna raba Kali kwabei ya 5500 na ni mpya Viatu vya kike skonkonko nazo mpya 7000 tu nichek
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu mabalo ya mtumba ya nguo za watoto

    Niko hapa chimbo la wafanyabiashara biashara karbu unicheki 0743333250 wasap
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kabisa kuagiza mzigo kutoka China ni bora kuazia Kariakoo au Nairobi Kenya

    Nimeshangaa apo kwenye kuchukua miezi minne wakati watu mizigo tunapokea baada ya sku 40 Yani mwezi mmja na week apo ilichelewa sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Zile zimeisha ziko za 14k 🤣🤣 mikono mifupi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza tisheti kwa Bei nafuu

    Habari jamani, Nauza tisheti kali za aina tofauti, special Tshirt kali na nguo zingine. Hizi Tshirt nazopost leo Tsh. 10000 tu reja reja.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji

    🤣🤣ambae anaefahamu jinsi ya kutemgeneza izo sabuni Hana brand kwasasa ila nimjuzi naomba anicheki pm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji na sabuni za miche, shampuu batiki, mishumaa na jinsi ya kuzingatia vipimo wakati wa kutengeneza sabuni

    Anaeweza kutemgeneza izo sabuni za maji lkn hatengenezi na Hana brand anicheki inbox
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maduka ya nguo nzuri za kiume Dar?

    14k reja
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maduka ya nguo nzuri za kiume Dar?

    🤣🤣Karibuni Tshirt matajiri wangu Tshirt 14k only za dukani nzury nzito
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kununua nguo nzuri za mtumba?

    Habary watu wangu nauza Tshirt nzuri 14k only reja reja
  12. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA T-shirts Na Bukta Kali Za Mtumba (Bei Ya Kutupa)

    Mashirt 9k ukichukua mawili 8k
Back
Top Bottom