Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na kuwafanya wawe raia wanaopenda kutumikia na kuiilinda nchi yao.
Mara baada ya kumaliza kidato cha sita...
Habari zenu wanajamii forum? Leo nataka nigusie swala la ndoa hususani matayarisho yanayofanywa kabla ya kuingia huko.
Ndoa ni muungano wa mume na mke katika mwili na roho. Wawili hawa wanapokaa pamoja huunda familia. Lengo kuu kwenye ndoa huwa ni kuunda familia iliyo bora lakini changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.