Recent content by MADAM R

  1. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Nusu fainali & fainali, na huyu ndiye Bingwa wa Visiwani na Bara

    Wewe utakuwa Mchawi
  2. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Azam FC imewatimua makocha wake wote raia wa Hispania

    Nafikiri walikua wanaichukuia Poa Ligi ya Bongo..
  3. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Dar anamiliki 2/3 ya ardhi ya kijiji Morogoro

    Anunue na hizo 500 zilizobaki ili akusanye na kodi kutoka kwa wanakijiji
  4. MADAM R

    JamiiForums Tanzania 2015: Lowasa, Magufuli, Dr Slaa, na Prof.Lipumba Nani Alitia Fora Zaidi?

    Asante, "Nime edit"
  5. MADAM R

    JamiiForums Tanzania 2015: Lowasa, Magufuli, Dr Slaa, na Prof.Lipumba Nani Alitia Fora Zaidi?

    Wakati tunafunga Mwaka 2015, Unahisi ni Mwanasiasa gani aliyetia fora Zaidi kati ya Lowasa, Magufuli, Slaa na Lipumba? Makala ya Gazeti la Mwananchi hapo chini inaweza Kukupa Mwanga Kidogo Mwaka 2015 ulitawaliwa na matukio mengi ambayo yalitamba kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hasa...
  6. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Magufuli hakuchangiwa na mfanyabiashara yeyote ktk kampeni zake za urais?

    Una Point Magufuli=CCM
  7. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Magufuli hakuchangiwa na mfanyabiashara yeyote ktk kampeni zake za urais?

    Mfanyabiashara Diaro Alisifiwa kwa lipi na Magufuli ktk kampeni Mwanza? au mchango ni FEDHA tu?
  8. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Asilimia 60 ya hotuba ya Magufuli imetoka kwenye Ilani ya ACT-Wazalendo

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema chama cha ACT-Wazalendo kitashirikiana na Rais John Magufuli katika vita dhidi ya ufisadi. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Zitto alisema nchi inanuka uvundo wa ufisadi na kwamba Taifa limepata kiongozi mwenye nia ya dhati ya kupambana nayo...
  9. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Mjadala umebase katika KUPUNGUZA GHARAMA. Kwani Magufuli amesema kuwa amefanya hivyo kupunguza gharama? Usishangae Kusikia AMEVAMIA Ofisi ya Manispaa Morogoro au Ametembelea Mashamba ya SUMAYE MVOMERO
  10. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ambaye pia ni Mbunge mteule wa Kigoma Mjini ametumia msemo wa kiongozi wa zamani wa Burkina Faso Hayati Thomas Sankara kuwa huwezi kufanya mabadiliko makubwa bila kuchukua maamuzi magumu (?You cannot carry out fundamental change without a...
  11. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Nimekusoma Mkuu wengi wamejifunza hapa. ila huyu mzee anafaa kupata nafasi ya kuendelea kuwatumikia wananchi...
  12. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Miongoni mwa Mambo yaliyoipa Ushindi CCM Mwaka huu ni pamoja na Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM bwana A. Kinana ya miezi 26 iliyoishia june mwaka huu. Katika ziara hiyo Kinana alipita almost kata zote Tanzania Bara na Visiwani. Kwa ujumla Katibu Mkuu, pamoja na msafara wake amesafiri umbali...
  13. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Hongera Magufuli; umezaliwa 29 October, umeteuliwa kuwa Raisi Wa JMT 29 October

    Kwani kabla ya Kuapishwa anaitwaje?
  14. MADAM R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    ANNA MGHWIRA -Viti Maalumu ACT
  15. MADAM R

    JamiiForums Tanzania CHEAP PROPAGANDAS Zilizoonekana Kufanikiwa Uchaguzi 2015

    We chambua tu mkuu, hili ni jukwaa Huru, Pia baadhi ya propaganda hizo unaweza usiwe umezisikia kwakuwa zinaenezwa na watu wa kawaida mitaani wengine sio wanachama wa vyama husika na Tz ni kubwa..
Back
Top Bottom