Recent content by madaili

  1. madaili

    Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Nitanunua nijaribu, wanaweza kuwa wameweka vibarua vya wengi ICU 🤣
  2. madaili

    Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Nimetumia pia, hata Descript na AI software nyingine. Mwisho wa siku kuedit inachukua muda mrefu kuliko kuandika mwenyewe. Sikiliza kiingereza cha msingapore ile amechanganya na accent ya kihindi. Hata AI software zenyewe zinachoka. Kiufupi hata kama unatumia AI, mwisho wa siku ni lazima...
  3. madaili

    Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Ni vigumu, kuna audio zinawatu wenye accent nzito.
  4. madaili

    Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Kwa watu wote walionicheki DM, sijaweza kuwajibu wote. Lakini ili kuweka hali ya hewa vizuri kwenye hue uzi, cha kwanza kabisa ni kuwa sitahitaji unitumie hela yoyote, hata shillingi moja. Ukipata DM inakuambia utume hela kwanza kimbia. Cha pili, sikutegemea kupata maulizo toka kwa watu wengi...
  5. madaili

    Kazi ya Kusikiliza Kiingereza Kisha Uandike Maneno (Transcribing)

    Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga. Mshahara wa kila mwezi ni 100,000 tshs (base salary). Kwa kila kazi inayozidi dakika 20 tunalipa 800...
  6. madaili

    Phone4Sale Nauza iPhone 8 Plus

    Imeuzwa! Shukrani wanajamii~
  7. madaili

    Phone4Sale Nauza iPhone 8 Plus

    Nipe mwongozo wa kulipia mkuu, nitalipa, haina tabu kabisa!
  8. madaili

    Phone4Sale Nauza iPhone 8 Plus

    Haina changamoto, ni mzigo nilituma mwanzoni mwezi huu Dar, imebaki moja, nataka nimalizie nitume mzigo mwingine wikii hii.
  9. madaili

    Phone4Sale Nauza iPhone 8 Plus

    Nauza iPhone 8 Plus, 64 GB, simu ipo Dar es salaam. Bei ni 389,000 tshs. Negotiable. Kama unahitaji nicheki hapa au dm. Unaweza pia kunicheki Whatsapp: +8619974300439
  10. madaili

    Nauza MacBook

    Manake haitakuwa mikononi mwangu tena, either nimeiuza ama nimewakabidhi madalali wanisaidie kuuza, nicheki hapa kwa email: ********3@qq.com
  11. madaili

    Nauza MacBook

    Bei inaweza kushuka... Nicheki whatsapp ama kwa simu 008613******3
  12. madaili

    Nauza MacBook

    Note:Mzigo huu nimeshauza. Shukrani Nauza MacBook, 13 inch screen, 2.26GHz Intel Core 2 Duo, Operating system ni macOS Sierra Memory 2GB RAM(Inaweza kuongezwa mpaka 4 ama 8GB kwa kiasi kidogo cha pesa), 250 GB HDD Pia kama zawadi utapata na Benq laptop. Mzigo upo China, sio fake, zote ni...
  13. madaili

    Mke Ananigombeza Kisa Nilitafuta Kimada Mmoja Tuu

    Stori inaanzia miaka ya 80 huko, kipindi damu inachemka, nilijuana na dada mmoja mzuri, mwenye upeo na uzuri wa kimaumbile. Baada ya kukutana mara kadhaa nilifall in love naye, na kwa kuwa nilikuwa na mke, nilijua itakuwa ni ngumu kuwa serious naye. Moyo ulikuwa unataka, ila nafsi ilinisuta...
Back
Top Bottom