Recent content by Mad-kas

  1. M

    Kitakwimu UKAWA muungano wenu ume prove failure kwenye uchaguzi huu

    Level ya ujinga ni kubwa sana ktk taifa letu na haya ndiyo Matokeo yake. Tunashindwa kujipanga na kupanga serikal yenye kuleta tija,shida siyo vyama wananchi ndo hatujitambui mfano umepitisha diwan had mbunge wa ccm jumbo zima unataraji nn ?
  2. M

    CCM yafuta upinzani Tanzania

    25/10/15.. Eti Kila ufisadi ni EL ,shame on u man.
  3. M

    Wanamabadiliko mje hapa

    Asiyetaka mabadiriko nje ya ccm hana nia ya dhat kulihusu taifa. Huwez kutegemea mtu afanye mabariko,tumeona taarifa za mkaguzi wa serikal 2014 wizara iliyoongoza kwa ubadhilfu mkubwa ni ya ujenz.Leo anajipiga kifua kwa nguvu zake ataondoa ubadhilifu Katka nchi yenye wizara zaid ya 20 kama...
  4. M

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Watz lazma tujiulze kitu gani kimtufikisha hapa tulipo.? Tatzo cyo wa2 we2 (Viongoz) tatzo ni sisi watz wenyewe(wananchi) ambao kila mwaka tumekuwa tukidanganyana tuchague kiongoz mwadilifu na mkamilifu kitu ambacho c jibu tatuz la matatzo ya nchi ye2..Tumekuwa tukipambana kila kukicha kutafuta...
  5. M

    Vigogo wa CCM na ACT-Wazalendo wamwombea kura Lowassa majukwaani

    Huyu mama anajielewa sana ckuwahi imagine ...ni m/kit chama cha ACT na ndiyo mgombea uraisi wa chama hicho!
  6. M

    Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

    Ila tunatofautiana sana kifikra nadhani wanaoshabikia ccm kuna mawili 1.Wananufaika na mfumo huu mbovu wa serial. 2.Hawajielewi /Hawa2elewi Kwa nini tunataka mabadiriko na mabadriko hayo ni yapi..ndo maana wanaamini Mabadriko kupitia magufuri ambayo ni mabadriko Kwa maana ya ccm kubadrisha...
  7. M

    Live Updates: Lowassa Coments 232. Magufuli Coments 65. Watanyooka Tu

    Napata raha sana napokutana na wanatz wako na hasira kama zangu...Ikulu nyeupe, roho nyeupe na nywele nyeupe..period!
  8. M

    Live Updates: Lowassa Coments 232. Magufuli Coments 65. Watanyooka Tu

    Dada haelewi co mtandaoni tu huko field anakokusema ajiambie ukwel wa2 wanataka ccm? Dada chagua UKAWA Kwa kesho yako na ya watoto, wajukuu zako....tunataka kuifumua tz na kuijenga upya tukianza na katba mpya ambayo ndo kiini cha uozo ndani ya serikal ya ccm
  9. M

    Live Updates: Lowassa Coments 232. Magufuli Coments 65. Watanyooka Tu

    Napata raha sana napokutana na wanatz wako na hasira kama zangu...Ikulu nyeupe, roho nyeupe na nywele nyeupe..period!
  10. M

    Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

    Hatudanganyiki hata kidogo..mbona January analeta ngonjera za kitoto hivo? Halafu washa2ona watz cjui mazuzu! Waliyoyafanya wanataka wayafiche Kwa kuleta habari za udin ,ukanda vi2 ambavyo hata havipo... Mimi Niko ndani ya rock city na wanangu ...wasukuma halal 2namchagua lowassa ...haya...
  11. M

    Mshtuko anga la Tanzania kisiasa

    Aachen porojo ambazo mwisho wa siku zinakuwa urojo..iko mikonon mwe2 tunachagua lowassa hata kama hawatak ,hata wageuze mbingu chin juu ...na siyo mahaba ni Kwa sababu tunataka katiba mpya ya wananchi...
  12. M

    Kwa Hali Niliyoishuhudia Leo Old Bagamoyo Rd: There is No Way CCM Inaweza Kushinda!

    Kuelekea uchaguz huu Kwa mtazamo Wang kichaa ni yule atakayekomaa kuchagua mtu, akitegemea mtu mmoja kuleta mabadriko ya nchi hii...mwenye akili na hekima atachagua chama kilichoahid kujenga tz mpya kwa kuanza na msingi ambao ndiyo shida ya serikali ye2 msingi huu ni KATIBA ya Wananchi..perfect...
  13. M

    Ufisadi wa bilion 230 za mabehewa 'feki' mazito yaibuka, sasa Waziri Mwakyembe kitanzini

    Dawa ya tz ye2 wanatz ni katba mpya kwa mfumo huu tulonao huwezshangaa kuckia mambo na taarifa kama hiz..yeyote ukimpa lazma akupigeni tu tatzo cyo wa2 tatzo ni mfumo we2 ambao kiini chake ni katba ...tuungeni mkono jitihada zote zinazotetea kurejesha katba mpya ambayo itaondoa mamlaka ya...
  14. M

    TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    Unajua kuna vi2 vingine vya ajabu , pesa ya kujenga mabarabara ni ya umma na wala c ya ccm , na yeye alikuwa mwajiliwa wa umma wananchi cc kama mabosi wake, tulitaraji afanye kaz hiyo aliyopewa kutumikia umma ..binafsi con ki2 cha ajabu ktk idara hii ..budget ya barabara ilikuwa ikitolewa hakuna...
  15. M

    Bundi kutua tena CCM!

    Watz tucjal lengo le2 ni katba mpya ,tukiisuka vizuri yeyote lazma anyooshe maelezo ...maamz yakiletwa kwa uma maana yake kila kitu kitapita bungeni pamoja na jopo la wataalamu..tabia za kusaini mikataba m2 mmoja hotelin itaisha ambayo ndo imewapa minya hawa jamaa kutupiga
Back
Top Bottom