Hao watu nilitoka nao Buguruni hadi Segerea.kufika pale stend akili ikazinduka.walisema eti nimelishwa uchawi nikatema makucha na nywele.eti nikachukue sim na TV niwape ili wanizindue.nilienda kwa mangi anipe hela nityarudisha maana home palikua pamefungwa.nikamsimulia akacheka sana.kugeuka...
Ni kweli.wewe upo updated na sahihi.warundi wengi mno wameondoka ila ungewaambia mchongo wote ni milion sita.kuanzia passport mpaka unaingia Serbia.ndio mana wenginem wameshindwa
Binafsi hatukuweka jiwe ila tuligehza jeneza mbele nyuma nyuma pakawa mbele ili marehemu asitusumbue napo cha moto tulikiona.Msiba ulifika kwa tabu sana na maiti ilikua inalia machozi kabisa ma shingo ilikua imeangalia pembeni.Kaburi lilichimbwa matatu maana mawe makubwa yalikua yanajitokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.