Recent content by mactyga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kukuta nafasi ya kazi zimejaa wakati wa kureport kazini

    H
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kukata rufaa Bodi ya Mikopo

    nashukuru sana kwa maelezo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kukata rufaa Bodi ya Mikopo

    hapana mkuu daaah kilipotea na wa kukifatilia akawa ananichenga chenga sasa natak nikipambanie mimi nkipate ili kama dirisha likifunguliwa niweze kukiattach
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kukata rufaa Bodi ya Mikopo

    nashukuru sana umenieleza vizuri daaah cheti cha kifo kuna bro wangu alipoteza nkakikosa na muda wa kuapply ukawa unakalibia kuisha ikabidi tu niapply ivyo ivyo ila now nataka nikipambanie j3 nkipate mapema ili nije nikiattach nashukuru sana ubarikiwe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kukata rufaa Bodi ya Mikopo

    habari zenu sorry nlikuwa nauliza ivi kukata rufaa account zetu za SIPA tunaweza edit kama kuongeza cheti cha kifo na vitu vingine ama utaratibu unakuwaje kwa maana nataka nitafute cheti cha kifo sikukipata kwa muda sahihi
  6. M

    JamiiForums Tanzania HESLB Four Days For 2982 Applicants To Complete Loan Application Procedures

    nahisi marekebisho ni online tu kama sijakosea
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    nazani umenielewa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    na ww acha ubishi na kuto kuelekezwa ni ivyo tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    sawa ushauri wangu ni ule ule tu ukitaka kuelekeza kubali kuelekezwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    kuto taka kwako kuelekezwa ndio tumetufanya tubishane mkuu ukitaka kuelekezwa kubali kuelekezwa apo tu ungenielewa saiv tungekuwa tunafanya mengine
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    ku hack sio hach
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    ila najua utakuwa umenielewa ujuaji hauna faida ukitak kuelekeza kubali kuelekezwa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    nmegundua shida yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha makasiriko yasio ya lazima
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    badili jina nilijua ww wakike bana msela utajiitaje kasomi [emoji1787][emoji1787]
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Bodi ya Mikopo

    basi tusifundishane mbona kazi ndogo tu ii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom