Recent content by Mackdymacswagz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jambo

    Habarin ndugu zangu kwemah!!? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi au wengine utasikia kwetu nimeata au wamejizindika miili yao , swali langu mm ni ivi kwa watu kama ao huo wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu mfano labda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Jambo ndugu zangu

    Habarin ndugu zangu kwema? Najua watu wengi huenda kwa waganga mbalimbali wengine wanawaganga wao binafsi. Swali langu mimi ni hivi kwa watu kama hao huwa wanaMuomba Mungu pia katika mambo mengine mengi yanayomuhitaj Mungu? Mfano labda kuota ndoto mbaya katika maono
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hili Jambo linanipa changamoto sana

    Ile Hali ya kuchoka ilikwisha isha sema hali ya kuwaza mazoezi na kuumia ndio ikiwa bado ipo(ingawa ilipungua) sema baada ya tiba ya kwa mganga( kufukizwa na mmb mengine) Hali nikahisi kbs imekuwa shwari kwa kiwango kikubwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hili Jambo linanipa changamoto sana

    Kwema ndugu zangu!! Ninachangamoto imekuwa ikinipa mawazo Sana Kwani hii hali ilinitokea anzia mwaka jana ambapo nilikuwa mtu wa kuchoka mwili sana kwa kipindi kirefu kama miezi Kama 5 au 6 hivi, katika miezi Kama mi3 hivi nilipoanza kuchoka nilianza kuhisi labda Sina mazoezi mwilini ambapo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sijui ni uchawi huu?

    Yaaan nashindwa kabisa kuelewa hii mambo ndugu yangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sijui ni uchawi huu?

    Naombeni ushauri ndugu zangu nini hi hali
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sijui ni uchawi huu?

    Kwemah ndugu zangu? Moja kwa moja kwenye mada, mimi ni mwanafunzi wa chuo Dodoma, muda kidogo kama miezi 4 iliyopita niliamia katika nyumba moja baada ya kushauriwa na mama mmoja mkazi wa eneo hilo aliyekuwa anasimamia hiyo nyumba ingawa siyo yake, nilikuwa pia namtumia katika kujenga hiyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nina shambuliwa na mawazo ya kutaka kujiua

    Sababu nam dm hayupo active
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina shambuliwa na mawazo ya kutaka kujiua

    Mwenye namba ya Anne Maria naomba msaada
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa anxiety disorder?

    Kipindi nasoma advance mzazi wangu alinionya na kuniambia jirani yangu ana mamb ya kichawi ,na nilikuwa sipendi kabisa wajue mambi yangu hususan ninasoma wapi. Ikatokea siku nikiwa nalipa ada kwa wakala baada ya kumaliza wakati naondoka nikamuona mtoto mmoja wa ile familia akiwa mazingira yale...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nakuwa na mawazo ya hivi?

    Ndugu zangu naomba msaada wa kimawazo, Kama mwezi mmoja hivi kunawakati nilikuwa mtu mchovu mchovu, kuamka mapema yenyewe ilikuwa shida, nikawaza labda nijaribu kuwa nafanya mazoezi ,lakini changamoto ikawa mazoezi yenyewe nikawa sifanyi kama nitakavyo nasema kesho kesho na ikitokea nimefanya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Socialphobia, anxiety, depression, panic attack inaniua taratibu! Msaada

    Broo naomba nisaidie mawasiliano yako kaka ,Kuna mambo tunaweza saidiana juu ya hii mada
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi jamii inavyopata athari kwa kupuuza tatizo la Saikolojia

    Kaka umeandika kitu kimoja cha muhimu sana very potential ,ingependeza sasa iweze kwenda mbali zaidi hususan katika politics kusudi kipaumbele kiwekwe sabab ,mm pia sipo vzr kbs juu ya hili swala
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la Social Anxiety Disorder

    Vp Kaka tena unaendeleaje ,ningependa nipate number zako Kama utaridhia broo
Back
Top Bottom