Recent content by Machwala JR

  1. Machwala JR

    JamiiForums Tanzania Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

    Kwa mtazamo wangu ni idea mbaya kudhani hivo kuwa Mungu hayupo May be achana na attribute za Mungu ambaye anawasilishwa na watu wa imani zinazotambulika mpaka sasa ambazo zimefanya watu waamini kwa kuamini na sio kuamini kwa kutenda. Ushauri tafuta attribute zako ambazo utaona ni za kimungu na...
  2. Machwala JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

    Watu wa usalama watusaidie apa ivi Bahati nzuri ikatokea Mungu kampenda zaidi akafia huko nyumbani kwake wanakoishi hawezi onekana ni muuaji kama wauaji wengine tuu?
  3. Machwala JR

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

    Naongezea pia kwenye hoja za Mkuu ..kuna ile tabia zee pia ya Vibabu kupenda vitoto vya alufu mbili
Back
Top Bottom