Katika hii awamu ya tatu, tumeshudia mikataba mibovu katika uwekezaji.
Uadilifu mbovu wa viongozi wetu, kwanini tusijipange kwanza kabla ya kutafuta shari jingine? Kwa mtazamo wangu bado sijaona mkakati mbadala, kwenye sheria za kuwawajibisha viongozi.
Pia nikiwa na ushahidi na kazi...
Unadhani tutapopata mbinu za kuPROTECT? watakuwa wamebakiza kitu. Hiyo ajira ndio itaongezeka, bado kuna mifano mingi ya investors,mfano wachina, wahindi, kuja na watu wao kwenye kazi zinazoweza kufanywa na wazalendo, na hii itatoa mwanya zaidi.
Nyinyi mnafikiri mnampenda Lakini hamuelewi ukweli ya yale yanayomsibu au ya yale ambayo yangemsibu Mzazi wake ndiye anyejua yale ambayo yangemkuta kwa yale anayoyafahamu yeye kutokana na habari alizozipata.Mzee Ametumia busara na Nyinyi mnashabikia na FREE AMINA Kwasababu hakuna anayejua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.