Recent content by macho yangu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu kuna game ya Yanga na Township, Yanga kapewa odd 1.64 ushauri naomba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aksante Ngosha, tufaidi wote hapa hapa huko what up HAPANA JAMANI
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu hao Brugge wanacheza leo au kesho?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee baba nashukuru sana jana nimenyapia nyapia kwako, nikaweka timu 3 tatu mikeka mitano hapa nimekenua meno tu hahahahahahahaha......
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    waaaaooooo....... 2-2 now
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sydney usikimbie na kahela kangu nakuaminia 1x
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu tukumbushane mapema "HATARI YA KURUDIA TIMU KWENYE MIKEKA" coz akipigwa tu anachana mikeka yako yote. Tupia kila mkeka timu tofauti au option tofauti, yasije yakakukuta ya Man City kama jana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu hivi live betting ya princess iko pouwa?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wadau wa urembo na utanashati

    Shukrani mkuu kwa msaada wako.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wadau wa urembo na utanashati

    Nashukuru sana mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wadau wa urembo na utanashati

    Mkuu karibu sana makao makuu ya nchi Idodomya {DODOMA}
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wadau wa urembo na utanashati

    Mkuu naomba maelekezo jinsi ya kuitengeneza na kuitumia.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wadau wa urembo na utanashati

    Mkuu naomba maelekezo kidogo jinsi ya kuitengeneza na kuitumia plz
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wadau wa urembo na utanashati

    Wiki ijayo nina harusi wadau, nataka kuutoa au kuupunguza ule weusi wa kunyoa ndevu mashavuni na shingoni kwa njia za asili maana "scrub" za kizungu za viwandani hazinisaidi wakuu na mimi nataka nitokelezee kidogo simnajua harusi kupendeza jamani.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali niliyokutana nayo kwenye usafiri wa mabasi ya mikoani

    Wengine wanashusha mzigo/ gogo porini bila maji subiria waingie ndani ya basi hiyo harufu bora jamaa mmoja alitumia leso na mwingine soksi kama mbadala wa maji eti toilet paper wabongo hatari jamani kwa kujiongeza.
Back
Top Bottom