Mimi sikusubiria aliwe nilikuta sms ndo wanachati na jamaa yani wanatongozana sikuiyo iyo nilimfukuza akaenda kwao tangu mwaka 2018 hadi leo ni single mama aliyekubuhu na hajaolewa anagawa utamu tu uko mimi nilioa mda sana
Fundisha ata Civics kikubwa uwe na cheki namba na tsc wanakutambua mkuu.wenzako wanafundisha masomo ambayao hata hawajasomea na watoto wanafaulu vizuri kabisa
Filisi ilo duka alilokufungulia alafu utembee zako binti wa miaka 24 unakubalije kizembe ivo kuolewa na mme wa mtu unajua ugumu wa uke wenza kweli?Hakuna raha kama kuwa na mume wako tu na sio uke wenza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.