Recent content by MACD

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muhudumu wa grocery anahitajika

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, anahitajika muhudumu mmoja was grocery, mahali ni Morogoro Mikese. Yeyote mwenye uhitaji wa kazi hiyo anakaribishwa. Mshahara ni maelewano. Mawasiliano ni 0659 301 248.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa elimu ya juu

    Mkuu! ushauri wangu jaribu, pitia HESLB Utapata mkopo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania MSAILIWA SAYONA PITIA HAPA

    Sawa mkuu wanakuja
  4. M

    JamiiForums Tanzania TanRoad kibaha vp?

    Ngoja waje watujuze, maana hata mimi niliomba.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada zilipo ofisi za RITA (Registration, Insolvency and Trusteenship Agency)

    Habari wana jf. Naomba kuelekezwa mahali ofisi za RITA Zilipo kwa hapa Dar au mwenye namba za simu. nataka kufatilia cheti cha kuzaliwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi temporary/permanent

    Natafuta kazi ya mechanical engineer, kama kuna sehem tujulishane.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Driver cum sales

    I'm looking for a job in mechanical engineering (Industry and automobile)
Back
Top Bottom