Recent content by Mabula83

  1. M

    Hivi kweli Rais wetu huguswi na wabunge wa upinzani kutoka bungeni?

    Abdullah Makame wa FACEBOOK anasema "Maoni Yangu ni kwamba kila kitu kinapaswa kuwa na kiasi. Kiasi kikizidi kinakuwa kinachusha na kinaweza kikaleta madhara. Hata katika maisha ya ndoa Mume na Mke huweza wakapishana mawazo na wakawekeana misimamo ambayo hatimaye hupatikana suluhu...
  2. M

    Hivi kumbe Rais aliyasemaga haya kabla hajawa Rais

    Unajua jamaa wameishiwa pozi maana ugali moto mboga moto njee Magu ndani Tillia wafanyaje lazima wasuse tu na watahama nchi hawa nakwambia
  3. M

    Hivi kumbe Rais aliyasemaga haya kabla hajawa Rais

    Hahahhaaaa hatari sana, wasusie mara ngapi si nasikia waitana baby wenyewe kwa wenyewe sasa hvi........
  4. M

    Hivi kumbe Rais aliyasemaga haya kabla hajawa Rais

    Hebu angalieni haka kavideo jamani kumbe yalitabiliwa zamani hvoooo Dah yaani nimepata hii clip ushabiki wote wa UKAWA umeiniisha kumbe nilikuwa napoteza muda kusikiliza mabadiliko sisikilizi vitu vingine leo ndo naona haya maneno ya mh Raisi kumbe alisemaga zamani kabisa, hawa jamaa wanajua...
  5. M

    Wabunge wa UKAWA watoka bila Mbowe kuwepo leo

    TBC, AZAM, Starbunge wote wanaonyesha live mi bungeni nikafanye nn me naangali hukuhuku kitaa ww wananikera coz nakaa nione wakipinga hoja za masisiem sasa wao wanatoka njee nakereka sana
  6. M

    Wabunge wa UKAWA watoka bila Mbowe kuwepo leo

    Unajua wakati mwingine unaweza kuwa unajua kabisa kuwa unaolewa na mtu humpendi ila unakubali tu kwasababu unataka ndoa, Sasa hawa wabunge wa ukawa hawapendi kutoka bungeni ila hawana namna Mh mbowe kashasema halafu yy mwenyewe anakaa hm anacheki kwenye TV nani hatoki ila roho zinawauma maana...
  7. M

    Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    lazima nihangaike nao coz nilipanga foleni kuwapigia kura halafu nasubiri wafikishe hoja zetu eti wamevuta mpunga halafu wanajifanya haingii ndani mbona hawajaanza kugoma walivofika tu dom hadi wamesubiri hela
  8. M

    Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Kila nikiangalia hii video kwa kweli najilaumu sana kwanini nilipiga kura kwa hawa wanaojiita UKAWA kumbe wenyewe wanajua kabisa kwamba kutawala sio kazi ya upinzan dah kama kazi ni kushauri sasa mbona wametoka mjengoni wakaacha kazi yao ya kuishauri serikali Ila leo nimewaona wanatoka kwa...
  9. M

    Wabunge wa UKAWA leo wameishiwa staili, watoka kimyakimya

    Boss spakua hiyo video ya lema kwanza ndo uniulize haya mwaswali sawa boss
  10. M

    Wabunge wa UKAWA leo wameishiwa staili, watoka kimyakimya

    Kama uliliona hilo kwanini hukuwashauri hao wabunge wa UKAWA wasiwe wanatoka njee na wao watie input zao kufanya bajeti iwe na tija tazama video ya lema kwanza ili uwe na akili vizuri
  11. M

    Wabunge wa UKAWA leo wameishiwa staili, watoka kimyakimya

    Wewe unaonekana hujui hata kanuni moja ya Bunge kajifunze na kusoma zaidi
  12. M

    Wabunge wa UKAWA leo wameishiwa staili, watoka kimyakimya

    Na ww pia pakua hiyo video nimemtumia Utotole ili muwe na akili siku nyingine sio mnaropoka tu
  13. M

    Wabunge wa UKAWA leo wameishiwa staili, watoka kimyakimya

    Wewe unayejiona una akili sana kuliko wabunge wako sikiliza hiyo video ili uungane na mm kwenye safari yangu 2020
  14. M

    Wabunge wa UKAWA leo wameishiwa staili, watoka kimyakimya

    Kwa taarifa yako mm nilikuwa ukawa damu lakini kwa hili niweshusha sana na watasubili sana kama ni kura yangu washaikosa tayari 2020
  15. M

    Wabunge wa UKAWA leo wameishiwa staili, watoka kimyakimya

    Kweli kabisa wananchi wanaowatetea hawa wabunge wa UKAWA ni wa kuangaliwa akili zao hawa ndo wanaoitaka hii nchi watuongoze kweli kabisa na sisi tuwape Haya sasa hoja zao hazijaingia kwenye bajeti, Posho hawapati sio hivyo tu na bajeti imepita tena kishindo kabisa walichokuwa wanakifanya...
Back
Top Bottom