Taarifa za uzushi hizi, CAF siku zote wakiona kiwanja ulichochagua hakina vigezo wanakuambia uchague kiwanja kingine ili kucheza mechi yako. Iweje leo iwe tofauti na kuamuru mechi ichezwe sehemu fulani. Mm nakataa kabisa na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hili.
Kanuni ndio kila kitu mkuu. Hakuna kipengele cha kutoa taarifa ya kwenda kufanya mazoezi bali mwenyeji anatakiwa aandae mazingira mgeni aweze kwenda kufanya mazoezi bila shida yoyote.
Andiko lako limejaa ushabiki mtupu. Kanuni inasema timu ngeni itafanya mzoezi siku moja kabla ktk uwanja husika na ktk muda uleule wa mchezo, wachezaji wanakuja unawafanyia fujo na kuwazuia wasiingie uwanjani tena wakiwa wamefunga huoni kwa hayo ni mateso kwa wachezaji unadhani haitowaathiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.