Recent content by mabesti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

    Walipe kodi ya kupaki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad, ametoa msimamo mkali kuhusu majukumu yake kwamba hatumii utashi binafsi

    Mzee ulisema unatumia kinywaji gani tena?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa haki za wanyama hivi huwa hamuoni mbwa wanaogongwa?

    Hawa wanyama wana akili kuliko mbuzi, ila yanaongoza kwa kugongwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

    Sitasahau mwalimu.. Baba ubaya, Twikle twikle, na Hussein mchozi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kampuni ya Mabasi ya Ngorika imekumbwa na nini?

    Upinzani kutoka Kilimanjaro, machame.. Na kapricon ambako magari mengi yameenda huko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuagizwa Mzazi shuleni tukaleta wazazi feki tukutane hapa.

    Nakumbuka kumpeleka fundi saa kufika shule akasahau jina langu... Dah... Nilikiona cha moto
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa kuwa makini wanaweza kugeuza kibao na ukajikuta unaaibika

    Unajua utamu wa ngoma uingie ucheze... Wewe huna mtoto... Wala hamna mwanamke aliyewahi kulalamika ulimbusu... Bali unaingilia wenzio wenye watoto... Nafuu umlilie Mungu akuangalie wewe unamkimbiza... Utaita na wenye pua kubwa kesho kutwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda anamlenga nani katika zoezi la watoto waliotelekezwa?

    Nasubiri mmoja aseme ni mtoto wa Bashite... Naaminj ataachana na hii biashara
  9. M

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: Hassan Ngoma asema baba yake aliyegundua Tanzanite alianza kuugua akisubiri kumuona RC Makonda

    Hivi bashite anafahamu hata sheria na haki za watoto... Aje kwanza chuoni tumpe madesa... Sharti afaulu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: Hassan Ngoma asema baba yake aliyegundua Tanzanite alianza kuugua akisubiri kumuona RC Makonda

    Tunaomba huyu kijana asaidiwe maana ipo siku atazililia Tanzanite dukani kama pipi..akisema ni ya baba yake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Hassan Ngoma wa Clouds punguza ushamba, sifa, dharau na majivuno

    Mm na family yangu tumestop kuangalia leo 360
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mikoani mnatuangusha wenzenu wa Dar kwa kutembea uchi

    Sasa nyie wa dar mmenenepeana na mawowo... Hawa ni kazi tu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walimponza Tundu Lissu akapoteza haki yake ya matibabu

    Hata simba akitaka kumla swala bila kupata shida anamuacha afukuzwe na mbwa mwitu
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walimponza Tundu Lissu akapoteza haki yake ya matibabu

    Hivi baba wa taifa alipitia Muhimbili ndio akaenda St. Thomas kutibiwa?
Back
Top Bottom