Recent content by mabereng'ombe

  1. M

    OILCOM Tabata Segerea mmezidi jamani!

    Nikweli kabisa ewula inatakiwa wafuatilie Hizi shell za hapa dar zote mtindo huo si kwa oil com pekeyake mtindo huo pia unafanywa na shell ya temeke mtongani gapco ukiweka mafuta ya elfu ishilini kama unakwenda mbagala haufiki. Mchezo huo huwa unakuwa hivi mfano mwenye piki piki akifika kuweka...
  2. M

    Kumbe Tanzania hatuna B52?

    Huyo bwana akitaka kujua uwezo aende akawaulize m23 ndio atajua uwezo wale wamesumbua kongo miaka zaidi ya kumi wameshindwa kuwatoa yametumika majeshi ya UN nawenyewe walishindwa tanzania kwenda haikuchukua hata miezi minne chezea tz weee
  3. M

    CCM,Steven Wassira, hivi ni kwa nini hamuoni aibu kwa unafiki mlio nao?

    Huyo bwana wasila nimshirikina na ndiomaana anafanya mambo anayotaka yeye. Kiukweli anawasaidia watu kuwapatia ushirikina wa kuwasaidia kukaa madarakani. Kwahiyo amekuwa na kiburi kufanya mambo anavyotaka yeye kunaviongozi wanamuamini sana kwa kuwasaidia kukaa madarakani bila bugudha yeyote...
  4. M

    Kigogo NSSF akodi maiti Muhimbili kwa ajili ya ushirikina

    Ndugu wana jf siku ya j.nne nitaendereza kufichua jinsi kigogo wa nssf alivyo kodi maiti muhimbili.
  5. M

    Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

    Mkuu weka picha ya eneo hilo
  6. M

    Mbwa wa ubalozi wamla mtoto! ni wa balozi wa Qatar nchini Tanzania

    Habari za uhakika kutoka kituo cha polisi kawe zinadaiwa polisi walifika eneo la tukio wakaondoka na yule balozi mpaka kituoni wakamchukua maelezo baada ya hapo alihonga sh.11,000,000/= akaachiwa ndio ujue ninamnaga jeshi letu la poli linavyo fanyakazi kwa kutegemea lushwa. Najua wana jf...
  7. M

    Mbwa wa ubalozi wamla mtoto! ni wa balozi wa Qatar nchini Tanzania

    kwamujibu wa baba mzazi wa mtoto huyo alikiwa akitoka nje ya nyumba hiyo. Gafla akasikia kelele za mtoto akaludi akakuta mbwa watatu wanamshambuli baba wa mtoto huyo anafanyakazi humo ndani ya mazingila kwahiyo anakaa humo humo nyumba ilivyo ni apartment kwahiyo walipo kuwa wakimshambuli yule...
  8. M

    Mbwa wa ubalozi wamla mtoto! ni wa balozi wa Qatar nchini Tanzania

    Ni vigumu kuamini kilichotokea lakini ndivyo ilivyokua mtoto Christian Alex (6) ameuawa kikatili kwa kuliwa na mbwa wanaodaiwa kuwa ni wabalozi Jassim Mohamed Daruwesh. Tukio hilo la kusikitisha lilijili machi 26 mwaka huu Jangwani Beach Kunduchi jijini Dar es Salaam ambapo mtoto huyo...
  9. M

    Kigogo NSSF akodi maiti Muhimbili kwa ajili ya ushirikina

    Naomba ustahimili ijumaa siombali kwani mtuhuyu vile vile anatuhuma nyingine ya kutelekeza familia yake yani kumwacha mke wake wa ndoa ambapo alibadilisha dini na kuoa mwanamke wa kiislamu lakini baadae huyo mwana mke aliye muoa alimlubuni tena akambadilisha dini akafunga ndoa ya kikiristo...
  10. M

    Kigogo NSSF akodi maiti Muhimbili kwa ajili ya ushirikina

    Wapendwa wana jf nimeona mmekuwa mkihitaji kujua jina la huyu kigogo nssf napenda kuwafahamisha kuanzia siku ya ijumaa nitaweka jina lake hadhalani ikiwa nipamoja na picha yake na cheo chake hapo nssf nitafanya hivyo ilikukomesha ushirikina maofisini kutotajwa jina nikuendelea kuvicha maovu...
  11. M

    Kigogo NSSF akodi maiti Muhimbili kwa ajili ya ushirikina

    Hilo la ufisadi linatajwa kila kona. NSSF ya sasa inakula tu pesa za walipakodi kwa kuingia ubia wa miradi mbalimbali bila kushirikisha wanachama wake. Kibaya zaidi wakubwa wameanzisha kampuni zao za kujipatia kazi katika shirika. Ajira hutoka kwa upendeleo na wakubwa wamejilimbikizia mali...
  12. M

    Kigogo NSSF akodi maiti Muhimbili kwa ajili ya ushirikina

    Ukweri sio chuki ndio maana hajatajwa mtu hapa ingekuwa chuki basi lingetajwa jina kwakumsti jina kwanza limewekwa kapuni
  13. M

    TAKUKURU mulikeni TTCL Nyerere Road

    Kuna watu wanalalamika kwamba kampuni ya simu Tanzania inakufa lakini hawajui sababu. Sasa hivi ukiwa na simu yako Landline inachezewa ili isifanye kazi. Ukipiga simu Huduma kwa Wateja wanakupa namba za mafundi. Hao mafundi ukiwapigia wanakwambia Lunch yangu leo iko kwako. Maana yake hapa ni...
  14. M

    Kigogo NSSF akodi maiti Muhimbili kwa ajili ya ushirikina

    Alichokifanya huyu bosi ni kutaka asikilizwe na mabosi wake. Akaambiwa na mganga lazima apatikane maiti amezeshwe dawa. Wakaenda Muhimbili, wakakodi maiti mmoja. Wakaondoka naye kwa masaa matatu. Hayo ndiyo yalikuwa masharti ya mganga. Dereva wa bosi huyu ndiye aliyeropoka kwa jamaa zake baada...
  15. M

    Kigogo NSSF akodi maiti Muhimbili kwa ajili ya ushirikina

    Wahenga wanasema kusoma sana sio kujua kila kitu. Hayo yamethibitishwa na tabia kigogo mmoja anayeongoza idara nyeti katika Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) makao makuu kufanya ushirikina wa kutisha. Kigogo huyu hivi karibuni yeye na dereva wake walikwenda kukodi maiti katika chumba...
Back
Top Bottom