Recent content by Mabele2005

  1. Mabele2005

    Wafanyakazi NSSF tumejiroga wenyewe

    Umeona eeeh So shame kabisa yani. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mabele2005

    Uhujumu NSSF

    Point hii.. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mabele2005

    Uhujumu NSSF

    Aisee we chalii ticha ako alikua na kazi kinyama, mtoa nyuzi katimba humu tarehe 27 January ili adondoshe Personal attack yake yakikuda. Alaf unahoji aliejiubga tarehe 8 January.. unaakili ww [emoji16][emoji16]... sijui hata kwanini JF hawachuji hawa low minded people humu. Ni zero kinyama...
  4. Mabele2005

    Uhujumu NSSF

    Hii andiko linaonekana ni issue binafsi baada ya watu kadhaa kubanwa kuhujumu mikwanja ya Umma. Andiko lako halina mashiko fanyeni kazi acheni tamaaa na kuandika nyuzi zisizo na maana mpate attention lyambalyamfipa, Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mabele2005

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Kuna wakati kuna Kiongozi mmoja wa nchi alishauri Watanzania tupende kusoma ili tuwe na uwezo wa kupambanua issues mbalimbali ninachoona hapa watu mna chuki zenu binafsi na kusahau NSSF ni Taasisi na ofisi ya mtu kapuni hebu basi tujifunze kidogo Taasisi inaendeshwaje halafu tuje kuleta Uzi...
Back
Top Bottom