Recent content by Mabeho

  1. M

    Walimu na wanafunzi wa Kaizirege wakifurahia kuwa wa kwanza matokeo kidato cha nne

    Mkuu hizi hongera nafikir zingefaa zaidi kama shule za serikali nazo zingefanya vizur lkn kwa hii ya private pekee hataaa!
  2. M

    Makonda: Walimu kusafiri bure

    Labda wawape transport allowance itasaidia kuliko kusema wasafir bure mm kama mmiliki wa gari hilo siwezi kulikubali kwa sababu nalipa mapato makubwa tra sio kwaajir ya kutoa huduma bure bali kufanya biashara.
Back
Top Bottom