Recent content by Mabawe

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nashukuru kwa ushauri
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nilikuwa nafikiria hilo kulifanya nashukuru kwa ushauri japokuwa anajifanya anajua na mapolisi
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Asante sana kwa ushauri mkuu nitaufanyia kazi
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    ndio mie ni binadamu nina mapngufu yangu pia, lakini ilishakubali kila mtu ashike njia yake mungu hamtupi mja wake nina muda malezi ya mwanangu bado na yeye tena kisa anaona ninacho hapana kwakweli
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    hahahahahha itabidi mkuu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    namba anayo sikuwahi kubadilisha anakuja kumuona mtoto lakini namshangaa anakuwa na wivu na mtu asie mpenzi wake hapo ndio tatizo nilishamwambia simhitaji tena hanielewi
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    cc12 itabidi nijifunze hilo maana ni ujinga sana kumwendekeza
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Asante sana gamaha
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Mimi ni KE
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Habari za kazi wanajamvi, Niliwahi kuomba ushauri hapa,nashuuru nilifanikiwa. Kuna tatizo limetokea tena kwa huyu mzazi mwenzangu, aliomba awe anakuja kumuona mtoto binafsi sikuafikiana nae na sikuwahi kumuosha ninapoishi amepatafuta mpaka amepapata. Ameibuka anadai anataka tuoane tulee...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi simpendi mke wangu

    Mh pole sana kaka kwa yanayokukuta, mwanamke amepata mwanaume mzuri ila yeye ni majanga mh i wish it was me kweli kila mtu na bahati yake
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa ni cha kweli sio hadithi pitia

    hukujua kama una mtu wako wakati unaanza mahusiano wanaume acheni tabia za kuwachezea wanawake
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    nimehama na hapajui ninapoishi
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    nitafanyia kazi ushauri wako asante sana
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    asante nimekuelewa
Back
Top Bottom