Wakuu shikamoni,
Natumai mna jumapili njema,
Nina shida moja naomba msaada wenu mnieleweshe
Vyeti vyangu vya shule jina la kati kuna initial tu mf: John P. Magufuli
Na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA majina yapo full mf: John Pombe Magufuli
Kutokana na tangazo walilotoa je nahitajika kwenda...
Habari zenu wakuu,
Kwa yeyote mwenye mgonjwa au yeye anahitaji figo kwa ajili ya matibabu kuna jamaa yangu yupo tayari kujitolea yeye ni blood group O. Njoo pm
Nashkuru sana kiongozi umenipa mwanga wanamna ya kufanya nitafata huu ushauri wako, japo kuna kipindi nilijaribu kwa sehemu chache ila sikupata response yeyote. Kwa sasa ntaufata ushauri wako nijaribu kwenda maeneo yenyewe physically na si kwakutuma ujumbe. Asante sana mkuu
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa BSc. Biotechnology and laboratory science mwaka huu kutoka Sokoine University of Agriculture (SUA).
Natafuta kazi ata nje ya taaluma yangu
Kwa mwenye connection naomba msaada🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.