Shukran sana
OTE="Anithape, post: 35467618, member: 520618"]
John deere, jon holland, masseu furgason; hizo zote mi takataka tuu achana nazo. zinakula sana mafuta.
Kamata kitu cha FARMTRACK mpwa. Kwanza unapata brand new na inalima hadi eka 21 kwa masaa 12. Mafuta zinakula lita 2 kwa eka moja.
Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza kuhusu tractor cause nina access na tractor john deer ku nilipo zipo nyingi na nzuri ila sijui kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.