Hii habari ya PhD ya Magufuli ni vema tukaisahau, maana nijuavyo Magufuli amekuwa ni mwanasiasa kwa muda mrefu sasa. Je PhD ya Chemistry alijisomea online?
"Tundu Lissu" Dr.Slaa alikwisha kuteuliwa kuwa mgombea urais mwezi January na mwezi April akathibitishwa na kamati kuu. Sasa Kama siyo hujuma ni nini? Tundu Lissu nimekudharau kwa kauli zako za mtaani, hasa kuongelea personal life.
Hata kama hana haiba ya urais, mtoto wa baba wa taifa kaongelea ukweli mtupu. Kwa maelezo ya Makongoro, watangaza nia walio wengi CCM ni wezi na waongo. Lowassa atajwa hadharani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.