Recent content by ma ndizi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mahindi

    Nami naomba # yako ili niweze kukuuliza baadhi ya maswali yangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahitaji kufungua duka la vitambaa

    Nipo mtwara
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahitaji kufungua duka la vitambaa

    Habari za jioni wana-JF, Natamani kufungua duka la vitambaa lakn changamoto ni kwamba sijajua wapi naweza pata vitambaa kwa bei ya jumla. Na mtaji wa 5M naweza kufungua biashara hiyo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la mahindi

    Habari za jioni wanajf natumaini mko poa Naomba msaada wa kufaham soko Zuri la mahindi ndani na nje ya Tanzania lakn pia naomba kufaham namna ya kupata kibali cha biashara hii ya kusafirisha mahindi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya mbegu ya mahindiya Tembo Seedco

    Huku kwetu Lindi ni 20000 na hazipatikani pia
Back
Top Bottom