Recent content by Ma mpishi

  1. Ma mpishi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume aliyeumbiwa kuwa na mwanamke mmoja

    Maake apo kwanza ncheke 😂😂😂😂😂...
  2. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Maombi mapya TRA

    Chukua hyo PDF Yako kaiConvert kwenda PNG online
  3. Ma mpishi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Wanawake wengi wasioitikia salamu sio kuwa hawasikii, ni dharau tu

    Salamu haikataliwi, ila tu tukumbuke le le le ndio mwanzo Wa Ngoma...itikia tu Salam hayo mengine yatayokuja potezea. Sifa ya mwanamke ni kuwa Na haya Na aibu.. Salam haigombi, ila mengine yanagomba.
  4. Ma mpishi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampa laki 5 ya matumizi kila mwezi, lakini kila siku nalishwa kabeji

    Ukute pia Huyo mleta Mada ya kabeji anamkopa Huyo Huyo mke kwenye hyo laki Tano af analalamika🤣🤣🤣🤣🤣
  5. Ma mpishi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampa laki 5 ya matumizi kila mwezi, lakini kila siku nalishwa kabeji

    Kama hyo laki Tano unampa Wakat ushaleta mchele, unga,mafuta na maharage ndani....na bili ya maji Na umeme haitoki kwenye hyo laki Tano, na mahitaji yake binafsi Sio kwenye hyo laki Tano ,na ikitokea dharura hela haitoki kwenye hyo laki Tano.... Basi Hapo una haki ya kulalamika😂😂😂😂
  6. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Wadau hapa hakuna upigaji kweli hapa...?

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaah ...
  7. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Tena Sio ndogo😂😂😂Yan kama una roho ya wahehe unaweza ukajinyonga kweupeee
  8. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Unashangaa unatupwa halmashauri😂😂😂😂😂😂
  9. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Wengii wanadhani ukianza serikalini ndo umeanza😂😂😂😂..... Hadi upate confirmation letter ndo rasmi yan
  10. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Ipo probation...ukiajiriwi hupewi barua ya confirmation ad probation period ipite
  11. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

    We Jamaa una fıkra finyu sana .... ID ya jf unafata nn kwenye usaili na kwenye Mada ya huyu ndugu
  12. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman

    Kinakubalika
  13. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman

    Haifanyi kazı....Mimi nlienda usaili February mwaka Huu Huu na watu walitimuliwa na hzo online copy....wakakubaliwa wenye barua ya serikali ya mtaa
  14. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman

    Barua ya serikali ya mtaa yenye muhuri na picha Yako ya passport size + loss report..... Online copy hawachukui hata kidogo Tena utatimuliwa
  15. Ma mpishi

    JamiiForums Tanzania Usaili udom

    Ndo tumeambiwa hapa, utatukuta
Back
Top Bottom