Kaka kiukwel Mimi tokea nasoma hiyo CBG yangu sikuwa na mawazo kbx yakusoma doctor isipokuwa Mimi nilitamani kusoma maswala ya Afya lkn katika nyanja ya maswala ya genetic na baada ya kuhitimu kidato Cha sita nilifanikiwa kupata cred ambazo kipekee zilinifanikisha kujiunga na Ile Ile course ya...
Mara nyingine lazima tutor ushauri unaofaa Kama kwel umesoma Advance na ujamaliza uwezi toa ushauri Kama zilizo tolewa na watangulizi wangu hapo juu binafsi yangu nimesoma CBG na shule niliosima Kuna PCB lkn nakumbuka kwa record zangu Hadi tumehitimu na kujiunga na vyuo vikuu hii kasumba ili...
Wakuu...Mimi nili cancel admission kwenye chuo husika kbx ili kuomba chuo kingine maana kulingana na mifumo yetu ukisha chaguliwa chuo kimoja inatakiwa u-comfirm au Kama ukitaki u-cancel admission nakuomba chuo kingine lkn nilichaguliwa kwahiyo na mm apa natakiwa kwenda TC kabla ya kuomba mwaka...
Jamani Mimi nili cancel admission kwenye chuo husika ili kuomba chuo kingine kwhyo na Mimi Nina haja ya kwenda TCU na hungali kule nilisha cancelled na chuo husika
Habari za muda ndugu Wana jamvi,
Kama tunavozidi kushauriana kuhusiana na maswala mbalimbali ya kielimu kijana uyu anahitaji ushauri wa hali na mali ukizingatia ndo tunaelekea kwa kufunguliwa kwa dirisha la kuomba mikopo na vyuo vikuu kijana alihitimu kidato cha sita mwaka 2019/2020 katika...
Sawa Kaka sema naskia MUHAS kila course Ni three principle pass yaan Physics, Chemisty and Biology xx cjuii kwa hiyo course ikoje kwa upande wa vigezo vyake
Au kwa maonii yako nikasome course gan apoo Ardhii University maana ndo chuo nacho kupenda zaidi ingawa kila mtu na nambia njoo SUA je Apo ARU naweza pata course gan Kati ya hizi ata Building Economic, Environment science, Regional planning au Bancherol of science in Real Estate
Amna noma cz kila mtu anakuambia yake mwingne Bora EGM mwingne Bora CBG Ila mm nafaham CBG ukiwa na matokeo mazuri una uwanja Mpana Sana hata kuliko hiyo EGM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.